May be nina jicho tofauti, Pogba tofauti na mipasi yake eneo analopagwa hana msaada, hahold mpira, hakabi, hatrace vizuri.mbona leo kama kacheza vizuri bruno ulimuona ?
mara hii kamgonga mtu kweli. teh teh teh tajiri wa kichwa masikini wa bahati[emoji16][emoji16]View attachment 2189869
HASARA TUPUmara hii kamgonga mtu kweli. teh teh teh tajiri wa kichwa masikini wa bahati
SO Boss Unaona ni Sahihi Ronaldo kubaki kwenye mipango ya Rebuild (I am not sure if tumewahi kufanya Rebuild).hakuna chanzo chochote cha habari za uhakika kilichoripoti taarifa za CR7 kutohitajiwa na kocha ajaye, kwa kuwa hii habari imetokea upande wa ten hag nilitegemea vyanzo viwili vya habari zinazohusu uholanzi hususan klabu ya AJAX wangelitupa tetesi hii lakini mpaka muda huu wapo kimya, kwa taarifa za uhakika zinazohusu ajax na ten hag chanzo kikuu aminifu ni MIKE VERWEIJ na hata jana katika interview ya ten hag akizungumzia maandalizi ya fainali itakayochezwa hapo kesho huyu jamaa alikuwa anamchokonoa sana ten hag kwa maswali yake yanayohusu zaidi tetesi za man utd kuliko maandalizi ya ajax kuelekea fainali. Kwa asiyefahamu huyu bwana ndiye mtu wa mwanzoni kuja na taarifa zinazohusu ten hag kuwa mstari wa mbele kutakiwa na man utd na hata ishu ya ten hag kufanyiwa mahojiano na man utd ndio chanzo cha mapema kuripoti kwa waandishi wasioripoti habari za man utd, vyanzo vyengine muhimu kwa taarifa za man utd ni james ducker wa telegraph, laurie whitwell wa the athletic , david ornstein wa the athletic na simon stone wa bbc (huyu pia anaripoti habari za man city). Kati ya hao ni yupi alieripoti taarifa ya ronaldo kutohitajiwa na ten hag?... Basi hata hawa akina mark ogden wa espn,mwanadada charlotte ducker wa goal.com nao hawana ubuyu huu walionao daily...... pekee wakitiwa nguvu na sky sports?
Maguire kwanza hapaswi kuongelewa in future tense anapaswa kuondolewa ikiwa tuna nia na kuijenga timu ya ushindani. Kumuacha ni kusababisha media za kiingereza kuwaharibu kisaikolojia kina TIMBER wapya wanaochukua no yake.jurrien timber na antony ndio wachezaji anaotaka kuondoka nao eric ten hag, huyu jurrien timber nimeangalia video zake kwa dakika 3, anafanana na semedo ila huyu dogo anacheza beki wa kati na kulia. nimeona rangnick mechi 3 zilizopita amemuhamisha maguire kutoka kushoto kuelekea kulia, je ni maandalizi ya kumuandaa na maisha ya benchi pindi atakaposajiliwa huyu timber au tutegemee huyu dogo kupelekwa kulia. wale wazee wa utabiri nipeni jibu.
[emoji23][emoji23] ila Maguire kila mechi lazima azingue tu yani.[emoji16][emoji16]View attachment 2189869
Mnaotegemea Ronaldo kuuzwa mtasubiri sana. Siyo EtH wala United wapo tayari kumuona Ronaldo akisepa labda Ronaldo mwenyewe aamue kupokea offer kutoka vilabu vingine.SO Boss Unaona ni Sahihi Ronaldo kubaki kwenye mipango ya Rebuild (I am not sure if tumewahi kufanya Rebuild).
Nauliza hivyo maana naona Ronaldo anakiu sana ya kuweka rekodi haijalishi timu ipo wapi muhimu namba zake ziwe juu.
Huoni inaathiri Salary structure ikiwa performance ya wachezaji ikasababisha kudai mishahara.
Mbele tutaweza kuconvert chances zote?
Dressing Room inaweza kuwa pamoja ikiwa mchezaji anasauti kuliko kocha?
Nisaidie hao maswali.
NB. NAPOONGELEA RONALDO HAIMAANISHI RASHFORD, POGBA, MAGUIRE NA MATAKATA MENGINE NAYAKUBALI YABAKI. NO I WANT THEM TO DISAPPEAR.
Okay 👍👍 Boss.Mnaotegemea Ronaldo kuuzwa mtasubiri sana. Siyo EtH wala United wapo tayari kumuona Ronaldo akisepa labda Ronaldo mwenyewe aamue kupokea offer kutoka vilabu vingine.
Tokea hazijaanza tetesi za kocha mpya RR alikuwa anataka apatikane young striker wa ku-partner na Ronnie.
uwepo wake kwa mwaka mmoja hakuwezi kuathiri hiyo rebuilding ambayo pia haiwezi kukamilika kwa mwaka mmoja labda tuanze kufanya usajili wachezaji 10 kwa dirisha moja kama wafanyavyo simba na yanga. Na si kwa ronaldo tu hata kwa hao wengine haiwezekani kuondoka kwa mkupuo ndio maana kocha anahitaji process ya rebuilding ya muda itakayoongozwa na repoti ya kwake ya kitaalamu. Kuhusu mshahara hiyo ni kesi ya viongozi wanaohusika na negotiation wakiongoza na matt judge ndio wanaonyesha udhaifu wa kimkakati na kisera juu ya kuwa na kiwango rasmi cha juu cha mshahara kwa wachezaji. ten hag atawapa nafasi vijana wengi sana watakokuwa tayari kupambana. Wamemgomea rangnick na gengenpressing yake ndio maana tunacheza pira la ole gunnar lakini hakuna atakayethubu kumgomea kocha mkuu mwenye mamlaka.SO Boss Unaona ni Sahihi Ronaldo kubaki kwenye mipango ya Rebuild (I am not sure if tumewahi kufanya Rebuild).
Nauliza hivyo maana naona Ronaldo anakiu sana ya kuweka rekodi haijalishi timu ipo wapi muhimu namba zake ziwe juu.
Huoni inaathiri Salary structure ikiwa performance ya wachezaji ikasababisha kudai mishahara.
Mbele tutaweza kuconvert chances zote?
Dressing Room inaweza kuwa pamoja ikiwa mchezaji anasauti kuliko kocha?
Nisaidie hao maswali.
NB. NAPOONGELEA RONALDO HAIMAANISHI RASHFORD, POGBA, MAGUIRE NA MATAKATA MENGINE NAYAKUBALI YABAKI. NO I WANT THEM TO DISAPPEAR.
kwa sasa klabu inatafuta mshambuliaji wa kumuondoa taratibu CR7, timu yetu haina nguvu ya kusajili mchezaji anayegombaniwa na wakubwa hivyo haitowezekana kumuondoa ronaldo bila ya uhakika wa kusajili. kipaombele cha klabu ni harry kane na kama itakuwa ngumu wanamuangalia nunez au richarlison.bahati ikianguka kwetu tunakwenda kwa haaland anayewindwa na guardiola.Okay 👍👍 Boss.
Let's see tutafika wapi?
With Ronaldo influence.
Sio akifunga hattrick mnaanza kutuponda huku Man U nzima haieleweki.
Cr7 ni star tangu kabla hujasema, anaishi na yuko hivyo tangu namjua, kama mtu ana deliver muache aishi atakavyo usimpangie kwasababu anajua anachokifanya, huwezi kumbadili cr7 akaishi kama Kante never, Yani wee unataka kuishi na cr7 kama unaishi na lingard we vp? Shida ya utd ni uongozi na wachezaji waliogeuka mizigo baada ya kupewa pesa nyingi tofauti na uwezo wao.We are here. Ronaldo anaweza kujipatia hattrick but what UNITED get?
Ronaldo kaja nyakati mbaya, kuongeza mzigo wa usupastaa dressing room, ambayo imeathiriwa na Pogba, then vitoto vya kiingereza.
Kuna midomo ya mapundit. Kelele chetu ili timu ifike mbali tunahitaji kuondoa usupastaa kwanza, kuleta wenye njaa
Ondoa takataka zote za kiingereza, then egos (Pogba, Ronaldo). Maana kupiga sub tatizo malamamiko mengi from both wachezaji na mashabiki wao (like you) tutafika kweli?
We appreciate Ronaldo anachofanya but tunaenda wapi? Unadhani tukinunua mshambuliaji mwingine Ronaldo atakubali kutoa namba, tukileta vijana wenye njaa huku kuna ubinafsi uliokidhiri mbele tutafika kweli? (Kocha hasikiliziki).
ANYWAY TUSIHARIBIANE USHINDI, MUHIMU UNITED IMESHINDA.
Huyo ndio wa kwanza anatakiwa aondoke, hata leo katoa maboko kibao.Pobga alimaindi kichizi. HILI LIMAGUIRE SIKU LIKIONDOLEWA NITAKULA MSOSI GHALI KUSHEREHEKEA.
Linakera
Ahsante mkuu.uwepo wake kwa mwaka mmoja hakuwezi kuathiri hiyo rebuilding ambayo pia haiwezi kukamilika kwa mwaka mmoja labda tuanze kufanya usajili wachezaji 10 kwa dirisha moja kama wafanyavyo simba na yanga. Na si kwa ronaldo tu hata kwa hao wengine haiwezekani kuondoka kwa mkupuo ndio maana kocha anahitaji process ya rebuilding ya muda itakayoongozwa na repoti ya kwake ya kitaalamu. Kuhusu mshahara hiyo ni kesi ya viongozi wanaohusika na negotiation wakiongoza na matt judge ndio wanaonyesha udhaifu wa kimkakati na kisera juu ya kuwa na kiwango rasmi cha juu cha mshahara kwa wachezaji. ten hag atawapa nafasi vijana wengi sana watakokuwa tayari kupambana. Wamemgomea rangnick na gengenpressing yake ndio maana tunacheza pira la ole gunnar lakini hakuna atakayethubu kumgomea kocha mkuu mwenye mamlaka.
Wasenge hao waingereza wanataka wampoteze ten hag asianze na muingereza mwenzao anayeikost timu kila siku.hakuna chanzo chochote cha habari za uhakika kilichoripoti taarifa za CR7 kutohitajiwa na kocha ajaye, kwa kuwa hii habari imetokea upande wa ten hag nilitegemea vyanzo viwili vya habari zinazohusu uholanzi hususan klabu ya AJAX wangelitupa tetesi hii lakini mpaka muda huu wapo kimya, kwa taarifa za uhakika zinazohusu ajax na ten hag chanzo kikuu aminifu ni MIKE VERWEIJ na hata jana katika interview ya ten hag akizungumzia maandalizi ya fainali itakayochezwa hapo kesho huyu jamaa alikuwa anamchokonoa sana ten hag kwa maswali yake yanayohusu zaidi tetesi za man utd kuliko maandalizi ya ajax kuelekea fainali. Kwa asiyefahamu huyu bwana ndiye mtu wa mwanzoni kuja na taarifa zinazohusu ten hag kuwa mstari wa mbele kutakiwa na man utd na hata ishu ya ten hag kufanyiwa mahojiano na man utd ndio chanzo cha mapema kuripoti kwa waandishi wasioripoti habari za man utd, vyanzo vyengine muhimu kwa taarifa za man utd ni james ducker wa telegraph, laurie whitwell wa the athletic , david ornstein wa the athletic na simon stone wa bbc (huyu pia anaripoti habari za man city). Kati ya hao ni yupi alieripoti taarifa ya ronaldo kutohitajiwa na ten hag?... Basi hata hawa akina mark ogden wa espn,mwanadada charlotte ducker wa goal.com nao hawana ubuyu huu walionao daily...... pekee wakitiwa nguvu na sky sports?
Mzee sijampangia, hizo sifa ulizosema ndio zinafanya tutake aondoke maana kwa hizo sifa itakua ngumu kucheza soka la muunganiko, mchezaji akikosea shuti mnaaza si angempa Ronaldo, mara mchoyo mpaka mchezaji anakosa kujiamini, Ronaldo akifunga tufungwe blame inaenda kwa wengine yaani collective responsibility inapotea sasa kwa mwendo huo Man U tutafika wapi kisoka? Lini tutacheza kitimu?Cr7 ni star tangu kabla hujasema, anaishi na yuko hivyo tangu namjua, kama mtu ana deliver muache aishi atakavyo usimpangie kwasababu anajua anachokifanya, huwezi kumbadili cr7 akaishi kama Kante never, Yani wee unataka kuishi na cr7 kama unaishi na lingard we vp? Shida ya utd ni uongozi na wachezaji waliogeuka mizigo baada ya kupewa pesa nyingi tofauti na uwezo wao.
Darwin Nunez kumuweka na Ronaldo itakuwa tumeongeza Ronaldo mzee kwenye mwili wa kijana.kwa sasa klabu inatafuta mshambuliaji wa kumuondoa taratibu CR7, timu yetu haina nguvu ya kusajili mchezaji anayegombaniwa na wakubwa hivyo haitowezekana kumuondoa ronaldo bila ya uhakika wa kusajili. kipaombele cha klabu ni harry kane na kama itakuwa ngumu wanamuangalia nunez au richarlison.bahati ikianguka kwetu tunakwenda kwa haaland anayewindwa na guardiola.
Wewe una wenge mkuu, tulia kwanza mana unaposema rekodi binafsi sijui unataka kumaanisha nini, mtu anafunga na ana njaa ya kufunga ulitaka asifunge kuogopa nyie mtasema anataka tunzo binafsi? Takwimu zimetoka zinaonesha asipocheza Ronaldo timu inazingua, haya ulitaka afanye nini? Acheni kukariri.SO Boss Unaona ni Sahihi Ronaldo kubaki kwenye mipango ya Rebuild (I am not sure if tumewahi kufanya Rebuild).
Nauliza hivyo maana naona Ronaldo anakiu sana ya kuweka rekodi haijalishi timu ipo wapi muhimu namba zake ziwe juu.
Huoni inaathiri Salary structure ikiwa performance ya wachezaji ikasababisha kudai mishahara.
Mbele tutaweza kuconvert chances zote?
Dressing Room inaweza kuwa pamoja ikiwa mchezaji anasauti kuliko kocha?
Nisaidie hao maswali.
NB. NAPOONGELEA RONALDO HAIMAANISHI RASHFORD, POGBA, MAGUIRE NA MATAKATA MENGINE NAYAKUBALI YABAKI. NO I WANT THEM TO DISAPPEAR.