Kuna wakati inahitajika kupiga pasi nyepesi lkn anataka kupiga pasi ngumu bila sababu yoyote, me namwaminia ila cku za karibuni amedrop sn au ndiyo kusema Ronaldo ndiyo anayesababisha ashuke kiwango km alivyosemaga mamluki flani humu.
Si ndio hapo.CAVAAAAANI What a goal!
Tunatest mitambo, mechi za wanaume wanawekwa watoto.
CAVAAAAANI What a goal!
Tunatest mitambo, mechi za wanaume wanawekwa watoto.
[emoji23]Nyie jamaa kat ya watu wanao Tia huruma n nyinyi
Timu inawapa furaha siku moja halafu inawapa mateso wiki tatu
Kwa Hali hii afya mtaitoa wapi ya kugegeda wake zenu jaman
Na waswas hata wake zenu wanasaidiwa na mashabiki wa Chelsea na Liverpool maana hao pekee ndio wananguvu za kiume msimu mzma wa ligi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sometimes anazingua sana na hivyo vyenga vyake, kuna nafasi nzuri ya kutoa pasi lakini lenyewe linang'ang'ania kukaa na mpira mpaka linanyang'anywa.Sancho nae apunguze vyenga achia ball haraka kama unavyopewa kwa penetration passe.
Yaani naona Atletico tunawaweza sema hamna muunganiko (teamwork na team spirit ya kuua)
Ngonj nilale kesho nikitane na surprise kama ya juzi vs spurs
Weka akiba ya maneno wewe kenge wa darajani.Tunachukua yuefa na kombe la ligi kuu bila kufugwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Mr Champions leo lazima awaweke watake wasitake.
Yani magwaya anachekesha sn, hana quality kabisa aisee.