Man united imesajiri panya magwaya mbona ni beki nguli mnoDe gea sio wa kulaumu , hzo erros huwa zipo tuu , De gea ni the best Mzee , japo timu ni Tia maji Tia maji....!!! Kama defence ni mbovu , na viungo hawatawali dimba, kipa huwez fanya lolote mana unakuwa overwhelmed na mashambulizi hata ujasiri unaisha , unamkumbuka Yule Cesar wa intermillan ya mourinho alikuwa Bora sababu ya defence , hata Mendy yupo vizur sababu ya defence , kipa anakuwa na confidence kufanya clearence ndogo ndogo zinazosababishwa na defence ....
Mpak sasa nyota wa United ni De gea , mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni ,
Timu ina matatizo mengi , mi naongezea tuu , tatizo jingine ni kusajili wachezaji maarufu , hawa viumbe most of the time ni uncontrollable, wabishi na wanataka wacheze kama wanavyotaka , kila mmoja anata aonekane ni the best ,
Ukiacha yote hayo bado Manchester city ni timu Bora Kwa sasa kupata ushindi ilitegemewa Sana , labda ulalamike kufungwa gori nne na sio mbili au moja
Mechi zinazofuata zote Maguire asicheze, tuone kama timu haitapata matokeo mabaya...!! Maguire anaweza kuwa anaongeza tatizo Ila sio tatizo kuuMan united imesajiri panya magwaya mbona ni beki nguli mno
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nyie daily malalamishi sasa Elanga anamzidi nini Dickson Ambundo?Tukiongea ukweli jana first half tumecheza vizuri tu..second half watu wakawa hawataki hata kufanya tackling...
Anyway,Ralf ndo mara ya kwanza kukutana na proper team na ameonyeshwa kuwa safari ipo sana.
Nyinyi si mnajiita mashetani wekundu sasa Mungu aje kufanya niniDah hii timu hii imefika tu wakati wa Mungu kuingilia kati tumeipenda wenye.
Watu hadi leo bado tuna Furaha jana Manchester united ilichezaDah hii timu hii imefika tu wakati wa Mungu kuingilia kati tumeipenda wenye.
Huyu dogo angekuwa team zinazochezesha makinda angekuwa anacheza mda tu, kama kina Gavi wana namba pale barca why man u wanashindwa? Naungana na alichosema Roy Kean kuna wachezaji kama 6 pale hawafai kabisa kuchezea team yetualejandro garnacho amejumuishwa kwenye kikosi cha argentina kitakachofanyiwa mchujo hapo mbeleni. garnacho amekuwa na performance nzuri sana kwenye timu za vijana, nafikiri argentina wamechukua hatua ya kumjumuisha kikosi kikubwa kwa lengo la kuepusha mgongano dhidi yao na spain huko mbeleni kwa sababu dogo ameonyesha mwanga wa kuwa mshambuliaji hatari.
Sasa hivi lawama zote wanamtupia Maguire na bichwa hauzwi!😅Nyie vilaza bado akili hazijawarudia mkajua bora ole kuliko huyo mvaa miwani.
Mwisho wa msimu dirisha litakuwa busy sana upande wetu, Lingard, Cavani, Pogba (sidhani kama atasaini mkataba mpya) n.k kuna incomings nyingi tu kikubwa wabadili targets, wasajili wachezaji wadogo wenye kiu na mafanikio.. sajili za kina Ronaldo, Cavani na majina makubwa hazifai kwa sasa tunajaza mizigo tukuna wahuni kule reddit wanasema edison cavani pindi zinapokaribia mechi za timu ya taifa lake ndio anakuwa fiti. teh teh teh. juzi ijumaa alifanya mazoezi lakini jumamosi akamwambia kocha hajisikii kucheza,