Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,069
- 15,754
Punguza kuja kwenye majukwaa ya wanaume Kenge wewe.Wewe kweli Loosepool akuombee ushindi utegemehe kuna kushinda kweli hapo.
🤣🤣🤣😂😂😂,Hapa kila Mtu anakufa nalake 🤣🤣Kwahiyo sisi ndo mlitaka tumfunge city ili Liverpool akae pale juusubirini wana liver mtakutana nae vita yenu msituhusishe kabisa
Kwahiyo sisi ndo mlitaka tumfunge city ili Liverpool akae pale juusubirini wana liver mtakutana nae vita yenu msituhusishe kabisa
Acha nicheke tuYaani hapo mabeki wa man u wanaanguka kama wale makerubi wa mfame Zumaridi
Gegen pressing watu wanatetemeka miguu,gegen pressing watawezea wapi?wamekua liverpool au?🤣🤣Mara ooh "gegen pressing" tukawambia Pep Guardiola anajisifu kubeat press wewe unajisifu kupress, are you mad?
Kwani mlijua mtatoa challenge yeyote kwa city?bora uwategemee wolves wangefanya jambo kuliko man u.😊😊Liver akashinde mechi zake, asitegemee mbeleko.
i eill explaim belowNimeandikaga hapa mkuu. Nikasema tujiulize kwanini united imekua kama dream ya kuua talents?
Kila aliyekuja united ka flop. Nini ni tatizo? Ila sasa washabiki maandazi wasio analyse vitu kwa ukubwa wanaanzaga kunyoosha vidole tu bila kujua tatizo ni kubwa sana.
Eti leo hii wan Bisaka anaonekana utopolo. Kuna promising right back zaidi yake na trent pale EPL katika michache nyuma iliyopita?
Mbona Maguire alikua mzuri tu Leicester. Tangu akina Di Maria, Martial, Pogba, Sancho, Baily etc.
Wote wanakuja na ku flop. Rashford was once a promising young player, leo hii hadi wakina Fode wamepewa perfect nurturing wapo ahead.
Tatizo la man u ni kubwa kuliko tunavyoona. Ila washabiki wengi hawaangalii hili swala in a big picture
Hilo tatizo ni nini?Nimeandikaga hapa mkuu. Nikasema tujiulize kwanini united imekua kama dream ya kuua talents?
Kila aliyekuja united ka flop. Nini ni tatizo? Ila sasa washabiki maandazi wasio analyse vitu kwa ukubwa wanaanzaga kunyoosha vidole tu bila kujua tatizo ni kubwa sana.
Eti leo hii wan Bisaka anaonekana utopolo. Kuna promising right back zaidi yake na trent pale EPL katika michache nyuma iliyopita?
Mbona Maguire alikua mzuri tu Leicester. Tangu akina Di Maria, Martial, Pogba, Sancho, Baily etc.
Wote wanakuja na ku flop. Rashford was once a promising young player, leo hii hadi wakina Fode wamepewa perfect nurturing wapo ahead.
Tatizo la man u ni kubwa kuliko tunavyoona. Ila washabiki wengi hawaangalii hili swala in a big picture
Bora wew umeongea ukwel
Nikuwa najiuliza kwann Chelsea wana wachezaji wanaoumwa covid zaidi ya tatu lakini wanacheza bila kuarisha mechi tofauti na wengine waliyokuwa na mgonjwa mmoja tu lakini mechi ikaairishwa mfano Arsenal.Chelsea FC iko sayari nyingine kabisa kwa ubora bila unafki kwa 80% kwa timu zote za UK.
Yani majeruhi wa5(Ng'olo, Chalobah, Wenner, Covasic na Chilwel) + wachezaji 9 waliokuwa na COVID-19 bila ya msamaha wowote wa kughairi mechi kama ilivyokuwa kwa Tottenham, Man Utd na Liverpool lakini iko nafasi ya 3 kimsimamo.
Sasa Man Utd kapatwa na majeruhi wa3 tu ndivyo kwisha kabisa habari yake
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Umeandika mimavi mitupuNikuwa najiuliza kwann Chelsea wana wachezaji wanaoumwa covid zaidi ya tatu lakini wanacheza bila kuarisha mechi tofauti na wengine waliyokuwa na mgonjwa mmoja tu lakini mechi ikaairishwa mfano Arsenal.
Baadae nilikuja kupata jibu kuwa Chelsea inachukiwa Uingereza nzima? Wanapenda kuona Chelsea ikiboronga ndiyo furaha yao.
Vipi mkuu. Pole kwa kipigo takatifu. Uwe na heshima unapokuja kwenye nyuzi za wanaume. Unajifanya mjuaji kumbe timu yako ovyo kabisaWewe kweli Loosepool akuombee ushindi utegemehe kuna kushinda kweli hapo.