Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu kocha mweupe kichwani, hiz ndio mechi za rashidi. Nyie viazi kama hamuwezi kushinda jitahidin hata droo basi.
 
Kuna watu akili hazimo.....ukiacha makosa mawili yaliyozaa goals za city hii man u imecheza vizuri sana tena Sana....
Yeah, ila Pogba, McTomminay na Maguire wanapaswa kutolewa ingiza watu serious mijitu iko slow inakabia mikono.
 
Tatizo la Maguire ni kuwa na kichwa kikubwa kama Transfoma, kocha akimpa maelekezo liubongo lake kwa sababu ni likubwa linachukua muda kutafsiri maelekezo. Anashindwa kwenda sawa na kocha.
Nalichukia hatari.

Ndio linafanya tuwe kituko. Maana kila ukifikiri kituko cha Man U ni Maguire then Wan Bissaka, ila Bissaka hapana yuko poa na majukumu yake sema mbele asee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…