Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Miaka ya hivi karibuni unakumbuka lini kutufunga kwenye ligi hapo emptyhad?.

Ole kila akija 3 points zilikuwa secured..

Sina pressure kabisa.
Utajua hujui ,subili weekend hii uone [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hii timu ni mwendo wa kupost thrown back [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

History FC
 
Ilikuwa TBT ni haki yao kupost.

Vipi unategemea kuivunja historia yao lini?
Nani afuate nyayo za nyumbu ,hata kama ni kuvunja ,Bora kuvunja historia kama za real Madrid sio hawa vinabo...!
 
Nani afuate nyayo za nyumbu ,hata kama ni kuvunja ,Bora kuvunja historia kama za real Madrid sio hawa vinabo...!
Kuvunja historia za hawa vinabo itachukua miaka mingi kuzivunja.

Na kuvunja historia ya Real Madrid itachukua miaka mingi zaidi.
 
Kuvunja historia za hawa vinabo itachukua miaka mingi kuzivunja.

Na kuvunja historia ya Real Madrid itachukua miaka mingi zaidi.
Sisi tunatengeneza historia yetu na sio kuangalia nyumbuzi wanaporomoka vipi ...maana anguko la man utd limeshafika na hakuna namna [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Jack Hana statistics nyingi lakini akiwa uwanjan ana impact kubwa tu ...!

Nyie wachambuzi uchwara ambao mnaangalia goal na assist kujua mchezaji Bora ndio mnabaki na vihoroo moyoni ....!
We tulia angekua man u si ungekua na mdomo.
 
Sisi tunatengeneza historia yetu na sio kuangalia nyumbuzi wanaporomoka vipi ...maana anguko la man utd limeshafika na hakuna namna [emoji28][emoji28][emoji28]
Hamuwezi kutengeneza historia yenu ,

Munacho jaribu kukifanya kishafanywa na hao unao waita nyumbu.Wee unafanya marudio tu.

Ambayo mengine hutoweza kuyafanya Kwa kipindi hiki [KUCHUKUA UCL]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…