Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yani atletico wanapaki basi kina bruno wanashindwa kuingia pale kati basi ata washambulie kwa nguvu ila nikiwaza beki zilizo baki nyuma ni Maguire na varane sioni afadhari
Utopolo ya Ulaya. Nikatulia kuangalia spurshit na burnley
 
Utopolo ya Ulaya. Nikatulia kuangalia spurshit na burnley
Spurs kapigwa, wapinzani wakidrop points hivi katika viporo vyao ni nafuu kwetu kwa mbio za top 4, kipigo cha leo means hata akishinda hizo game mbili zilizobaki bado tunamuacha point 1, tumuombee njaa arsenal na wolves kesho..

Rashford ni nini msimu huu? Completely lost kabisa dogo..
 
Dawa yake asugue benchi Elanga awe anaanza ata dakika 80 ivi ukute dogo nae anasumbuliwa na mapenzi aisee anacheza takataka tupu mpaka aibu...ata greenwood alianza ivoivo anapiga shuti kama ajala kumbe mapenzi yanautesa Mutima
 
Shaw na Maguire wafundishwe offside trap, maana kila magori wao ndio wanaweka mfungaji onside.
Mou alisemaga Shaw ni mchezaji mzuri mwenye kipaji ila anapaswa kuongeza football brain ..
Kwanini alisena vile ...

Ukitaka kujua nenda Loverpool kawaangalke kina trent na Robo wale jamaa kuna muda hawa tumii nguvu bali baalofa kufanya kitu amabcho hata wewe ungefanya na wana save team

Shaw ana kipaji ila IQ yake ni average
 
Eti eeeeeh?
 
Hakuna away goal sasa hivi
 
Kwa ule uchezaji ,atletico anaenda kuwatoa mwenye mashindano.....!

Hii ni kwa watu wenye akili tulioangalia mpira tu ....!

This time hakuna sijui goli la ugenini ,nyote mnaanza upya ....
 
Kwa ule uchezaji ,atletico anaenda kuwatoa mwenye mashindano.....!

Hii ni kwa watu wenye akili tulioangalia mpira tu ....!

This time hakuna sijui goli la ugenini ,nyote mnaanza upya ....
Unatapatapa umbea tu unakusumbua kashindwa kututoa kwao ataweza kwetu
 
Away goal halina msaada wowote sasa hivi..Uefa wamefuta huo ujinga.
 
Dawa yake asugue benchi Elanga awe anaanza ata dakika 80 ivi ukute dogo nae anasumbuliwa na mapenzi aisee anacheza takataka tupu mpaka aibu...ata greenwood alianza ivoivo anapiga shuti kama ajala kumbe mapenzi yanautesa Mutima
mkuu hii post yako imefanya niwe na siku njema.
Eti anapiga shuti kama HAJALA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…