Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Acha kuwashwa nenda kajiongeleshe kwenye jukwaa lenu kule sijui upo peke yako
unatiaga hadi huruma.
Mimi Sina shida na nyie .....kwa sababu ni watoto wadogo Sana ... liverpool ndio tuna Battle nae ...
 
Confirmed

super magwaya will go parallel with so called suarez
 
Sijui kwanini kocha kampanga lindelof namba ya dalot na bisaka kusema kocha hawaamini wote wawili.View attachment 2128942
kama uliangalia mechi iliyopita utakua uliona alicho kifanya ice man, aligeuka ronaldinho, bila shaka mwalimu amekusudia kuona perfomance kama ile ikitokea upande wa kulia, upande wangu naona amenikosha sana ili na mimi nijionee kama alibahatisha au ana uwezo kweli
 
Kwa Atletico hii ya leo tuta-create chance nyingi sana. Wasumbufu wao kama Lemar, Suarez na Griez wapo bench ndugu yao Carrasco katulizwa ila bado Correa na Felix ni wa kuangalia sana beki akifanya blunder hawakuachi.

Atletico wapo solid sana ila muda mwingi wanaokolewa na Oblak tukiwa more clinical hii game inaweza kuisha leo. Naamini kutakuwa na magoli mengi kwenye hii mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…