Manchester United (Red Devils) | Special Thread




Young diver in the making ... .... ....
What do they teach ... .... ... diving na ushoga Phew! Aibu










Verdict -Guilty: Mike Jones shows a yellow card to the teenage winger
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 
ndo tunakwenda sasa kwenye nafasi yetu. vitoto kama ass-nal vishaanza kupisha njia
 
Goli 6 bado zinakuwewesesha enh?! Na safari kwenye nafasi yenu ya ubingwa ndio imeanza hivyo......

#Mtazoea tu kwa sababu #Mmeshazoea sana.....miaka #nane bila kombe hata la mbuzi?!!?


Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Nzi tangu lini na wewe hujibu hoja kwa hoja au wameshakuzoesha ushoga khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Anza ku-dive chacha khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee Wacha ngebe njoo J3 Emirates uangalia kitale tutakapokuwa tunawatimulia vumbi ... .... ... ... ....
 

Hoja gani ilikuwepo kwenye hiyo post yako?
Kupewa kadi ya njano ama? Mbona hujaweka picha za goli tamu la dogo?!?

Kujiangusha kwa mchezaji wa aina yake ni kawaida, ni self-protection mechanism against reckless tackles kutoka kwa watu kama Shawcross....

Dogo is another level, so please don't go there......he is way far better than your fag smoker, Wheelchair......
 

Ushoga and diving?
 
Naona mkuu umesahau kuwa Spurs,Southampton,Newcastle,everton wote hao wanataka kuja juu kama wewe unavyowish,hivi unafikiri hata liverpool akifungwa na Man city (japokuwa uwezekano ni mdogo) na pia Chelsea akimfunga (kitu ambacho hakiwezi kutokea) na hata Arsenal akifungwa na Chelsea (japokuwa itakuwa bahati) wewe utakuwa unashinda tuuu na wenzio wamesimama wanakungoja upite?

"Nlikuwepo":bolt:
 

Mkuu kama ziliisha shushwa pointi 18 sembuse hizi za sasa!. Kaa utulie uone utamu wa EPL.
 

........thubutuuuu!
Safari hii #Mtaizoea tu hiyo #figure8 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…