Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe umeona tu kukosa penati hujaona kwamba ile game tulikua tunaimaliza mapema?

Elanga sawa katulaza na viatu tunaweza kumlaumu kwa hasira za kishabiki lakini mechi tulikua tunaimaliza mapema sana
Sasa kwanini umtukane Elanga wakati game ilitakiwa kumalizwa mapema?

Kwanini usingewatukana waliokosa manafasi ya wazi?

Sioni ajabu mchezaji kukosa penalt.

Usibebwe na ujinga wa racism.
 
Sasa kwanini umtukane Elanga wakati game ilitakiwa kumalizwa mapema?

Kwanini usingewatukana waliokosa manafasi ya wazi?

Sioni ajabu mchezaji kukosa penalt.

Usibebwe na ujinga wa racism.
Ukisoma vizuri utaona nimelaumu timu nzima kuna sehemu nimeandika hii timu imekua tia maji tia maji natamani niyashike machezaji niyalambe makofi.

Elanga just n mbuzi wa kafara tu ila game ile wachezaji wajilaumu wenyewe tu. Sisi mashabiki ni haki yetu kumlaumu yoyote lawama hazikosekani hasa timu ikipoteza ndio maana nae kocha ana laumu mwamuzi kutoitolea maamuzi ile hand ball ya yule jamaa aliyetoa assist
 
Sasa kwanini umtukane Elanga wakati game ilitakiwa kumalizwa mapema?

Kwanini usingewatukana waliokosa manafasi ya wazi?

Sioni ajabu mchezaji kukosa penalt.

Usibebwe na ujinga wa racism.
Moja ya mashabiki wenye emotional intelligence (EQ) ndogo sana barani ulaya ni waingereza yale mazungu majinga sana.

Huwa timu zao zikipata matokeo mabovu na ikatokea mchezaji mweusi kachoma atajuta kuzaliwa ulaya. Pia IQ za baadhi ya mashabiki wa kizungu ziko chini sana (single digit).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…