Kuna wakati wanasikilizia upepo.Kwenye kutafuta coach kila mtu na kila shabiki anampendekeza ten hag mpaka raf mwenyewe amempendekeza ten hag sasa maboss wapumbavu wa man u utaona kiama watacho tuletea.
Maana tuna maboss wa pumbavu na washamba tena wajinga takataka.
Nadhani hata Poch mwenyewe anajua vigezo vinapungua. Ndio maana anaachia kazi psg ili iwe sifa ya ziada kuchukuliwa kwa maana ya free agent (cheap and accessible)Kwenye kutafuta coach kila mtu na kila shabiki anampendekeza ten hag mpaka raf mwenyewe amempendekeza ten hag sasa maboss wapumbavu wa man u utaona kiama watacho tuletea.
Maana tuna maboss wa pumbavu na washamba tena wajinga takataka.
Na ndio lengo la board kwa sasa, offload wanaotaka kuondoka kocha mpya aje na targets zake kwa maslahi ya team, tumepewa si chini ya wachezaji wa 5 dirisha hili board imekataa, na mikataba yote ya walioondoka wanarudi mwisho wa msimu waje waonane na kocha mpya mwenye kwenda aende mwenye kutaka abaki.. dirisha lijalo litakuwa busy sana upande wetu, ingoings na outgoings nyingi tuSawa kiongoz naona iyo ni twitter account yake na sikuiona iyo post insta mimi huwa namfuatiliaga insta account yake tu, basi ni jambo jema kama hiyo ndio mipango mliyonayo hadi summer mkimsubir new manager ni vizuri kwasababu coach ajae akishindwa ashindwa mwenyew maana mtakua mumempa go ahead asajili watu anaowataka yeye na watakaoendana na mfumo wake.
Wapo kwenye mchakato na shortlisted candidates washakuwa identified ngoja tuone, kumbuka na kipengele pia cha mkataba wa RR hakimfungi mpaka mwisho wa msimu tu, anaweza kuwa permanent coach wasipopendezwa nae ndio anachukua ile role ya consultancyMaana yake pre signing ya new manager imefanyika?
Mara wamempa Rooney, Gary Neville au Roy Kean wazee wa class of 90sKwenye kutafuta coach kila mtu na kila shabiki anampendekeza ten hag mpaka raf mwenyewe amempendekeza ten hag sasa maboss wapumbavu wa man u utaona kiama watacho tuletea.
Maana tuna maboss wa pumbavu na washamba tena wajinga takataka.
Ten Hag, chaguo la kwanza kabisa kwa makocha waliopo na itakuwa rahisi kwa ukaribu wetu na Van Der Sar ambaye ndio CEO wa Ajax kwa sasaBinafsi natamani deal la Poch life. Atafute team nyingine.
Natamani machaguo yabaki haya tu!
1. Luis Enrigue (Ngumu kumpata kwasasa)
2. Erik ten Hag
3. Ralf Rangnick
Dogo kala namba, kila la kheir kwake apambane pana shida pale kiungo namba ipo nje nje tuHannibal Mejbri promoted to the first team
Yeah ila mazungumzo mengi ya mikataba, usajili n.k yamesimama kwa sasa kusubiri kocha mpya.. mahusiano yetu na Raiola si mazuri kwakweli kwa issue ya Pogba tutarajie lolote lilePogba issue yake inaendaje wakuu?
Mwezi wa sita si atakuwa out of contract?.
Pogba tumwondoe tu..Yeah ila mazungumzo mengi ya mikataba, usajili n.k yamesimama kwa sasa kusubiri kocha mpya.. mahusiano yetu na Raiola si mazuri kwakweli kwa issue ya Pogba tutarajie lolote lile
United ina mashabiki zaidi ya 700M duniani.Baada ya DXC Tech. sasa ni Tezos wana-join 'the big boys'
United nje ya uwanja hakuna timu inaweza kugusa brand yake, club imesahau mataji lakini bado ni kivutio cha wawekezaji na brand kubwa zinazojitangaza.
Mafanikio haya ndiyo yanatakiwa kuonekana ndani ya uwanja, kushinda mataji makubwa kuende sambamba na hadhi ya brand ya MUFC.
Natamani siku moja kuona United ikiwa chini ya wamiliki mfano wa Man. City, PSG na Newcastle.View attachment 2106652
Kocha mpya ndo anasubiriwa aamue hilo.Pogba issue yake inaendaje wakuu?
Mwezi wa sita si atakuwa out of contract?.