Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chief unaelewa lugha lakini au tukutafsirie kidogo? Au una uelewa kidogo wa maswala ya usajili? Au unawafaham wataalam wa maswala ya usajili kama huyo bwana hapo unayemuona?
 
United wakimchukua Poch na City wakamchukua Ten Hag. Hatutaiona EPL for the forseeable future.

Poch ni Ole mwenye experience.
Nashangaa sana wanao mfikiria pochetino yaani uwezo wake ni average kwa ile PSG tu anateseka
Hakuna kocha pale
 
Chief unaelewa lugha lakini au tukutafsirie kidogo? Au una uelewa kidogo wa maswala ya usajili? Au unawafaham wataalam wa maswala ya usajili kama huyo bwana hapo unayemuona? View attachment 2105628
Sawa kiongoz naona iyo ni twitter account yake na sikuiona iyo post insta mimi huwa namfuatiliaga insta account yake tu, basi ni jambo jema kama hiyo ndio mipango mliyonayo hadi summer mkimsubir new manager ni vizuri kwasababu coach ajae akishindwa ashindwa mwenyew maana mtakua mumempa go ahead asajili watu anaowataka yeye na watakaoendana na mfumo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…