Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni miongoni mwa mataifa machache ambayo sehemu kubwa hawajaathiriwa na akili za kimagharibi.
Ama ni miongoni mwa mataifa machache ambayo wanawake wanauzwa kama pipi. Thailand kuna Biashara kubwa ya watu na malaya ni wengi sana.

Huku Africa majority ya Bara haijaathiriwa sana na umagharibi ukitoa majiji machache, pia Middle East, baadhi ya Nchi south na south East Asia, Japan, Korea etc wapo vizuri
 
Dah Greenwood kanisikitisha sana sio kwa damu zile asee inaonekana kambutua haswaa, halafu sielewi sisi ngozi nyeusi shida yetu nini haswaa?? Ukiangalia wachezaji mastaa weusi wameoa wanawake wazungu karibia wote lakini hakuna staa wa kizungu kaoa black
ulimbukeni wetu hauwezi kwisha yani.
Hawajifunzi kwa eboue yaliyomkuta na hao wadada wa kizungu, jamaa kaharibu carrier yake kirahisi kabisa.
 
Yes, sure.
 
Manchester United dirisha hili ni kama imejitafuna yenyewe.

Martial, Diallo, VDB
& Lingard

Greenwood


Tupo UCL, FA na bado tunapambania top 4.
Wamepunguza wage bills na istoshe hao hawakuwa wanacheza kabisa. Kuliko kujaza mizigo, bora waende.

Hopeful ligi kuisha tunawasukumia hukohuko labda vdb arudi au aende kwao ajax.
 
Wamepunguza wage bills na istoshe hao hawakuwa wanacheza kabisa. Kuliko kujaza mizigo, bora waende.

Hopeful ligi kuisha tunawasukumia hukohuko labda vdb arudi au aende kwao ajax.
Mwenye potential hapo ni Amad tu..wengine wasepe jumla next summer.

Kocha mpya ajae naamini ataungana nami.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…