Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hata mm mpenzi wa Pess 2021 huwa sipendi kuwa na lundo la wachezaji mana wananipa shida kufanya rotation, so kwa idea hyo naona ningekuwa kocha pia nisingependa kuwa na kundi kubwa la wachezaji.
 
Klopp's Liverpool can be taken as an example.
 
Brazil wamepotea..vipaji vimepotea kwa kweli.
 
Manchester United are prepared to accept Bordeaux loan proposal for Phil Jones. It’s now up to the player for final ‘green light’ to complete the deal soon.
#MUFC

Bordeaux are confident as they’re not paying any loan fee.
 
Mason Greenwood, inawezekana akakumbana na yaliyomkuta Benjamin Mendy......Ex girlfriend wake amepost hizo video, audio clips za jamaa na picha za kuvimba ngozi kuwa jamaa alimpiga akimlazimisha sex kunaweza kuwa na charging of rape kwa mason.....

Mchezaji aliekuwa mzuri, anapotea... Finally atakaa sub sasa kama sio jela
 
Haka katoto mbona kana mbanga za kijinga..

Mtu una hela unalazimilisha sex kweli..hii itammaliza kabisa uwanjani if it's true.
 
Dogo kaisha. Mifano hai ipo ya mastaa waliowahi kunyanyasa wanawake na wakapotea. Amezingua big time.
 
Haka katoto mbona kana mbanga za kijinga..

Mtu una hela unalazimilisha sex kweli..hii itammaliza kabisa uwanjani if it's true.
kwa hizo taarifa kuna uwezekano ikawa kweli, na hata ikiwa sio kweli basi itachukua muda kiasi wakati upelelezi unaendelea....

Ndio maana hata perfomance ya shida, uchoyo uwanjani
 
Kwa hiyo mmeona hampati matokeo mkaanza kupiga watu???
Tena wanawake???
 
Man Utd: "We are aware of images and allegations circulating on social media. We will not make any further comment until the facts have been established. Manchester United does not condone violence of any kind."
Inawezekana wakamsimamisha na wakamtoa katika picha zote za kibiashara [promotions etc],

Inawezekana pia, akikutwa na hatia wakavunja mkataba wake.

Aliambiwa sana afocus na soka toka suala lake na phoden kwenye kambi ya England....ila naona aliweka pembeni shauri zote.
 
Greenwood ameua career yake. Bonge la player ila utoto unakwamisha ndoto zake, kashfa itamuandama sana aisee
 
Yaani wazungu hawana masikhara kabisa katika haya mambo.. dogo ndio mwisho hivo yaani, mikataba, commercial deals, public image n.k vyote huwa ni mwisho na jela juu, akija kutoka mpaka akae form atacheza sana ligi za daraja la 4 na conference kule.. kazi anayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…