Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huwa wananikera sana na hii tabia yao.
Utadhani wao ndio wanaongoza ligi kwa point 20+ kwa jinsi walivyo kimya kwenye hili dirisha.
Bado siku 5 tuendelee na McFred yetu plus the walking Matic
wacha tuone labda donny na lingard wakitoka watasajili ila tusiwe na matumaini sana
 
Huwa wananikera sana na hii tabia yao.
Utadhani wao ndio wanaongoza ligi kwa point 20+ kwa jinsi walivyo kimya kwenye hili dirisha.
Bado siku 5 tuendelee na McFred yetu plus the walking Matic
Issue ni Kocha, unless tunakubaliana na kocha mpya hii January hata kisiri siri then aseme anachotaka itakuwa ngumu kusajili.

Unaweza msajili mchezaji now baada ya miezi 4 anakuja Kocha mpya anamkalisha Bench
 
Amad is set to join Rangers on a straight loan from #mufc.
An agreement has been reached on a six month loan with no buy option included.
 
RR ameona asiingie sokoni this january sio..sawa
Inasemekana yeye mwenyewe alikubaliana na uongozi wa juu wasiongeze mtu kikosini mpaka majira ya kiangazi hatma ya kocha wa kudumu ikiamuliwa. Priority ni top 4.

Hata negotiations za mikataba zote zimewekewa pending status. Wachezaji wanaotolewa kwa mkopo pia haijumuishi buy option clause kwa timu wanazojiunga nazo.
 
Ina maana hata uwezekano wa kumpata Ander Herrera kwa mkopo toka PSG pia imeshindikana?
Top 4 bado matumaini ni madogo sana bila kuimarisha eneo la kiungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…