Sheria ya offside PL wameibadilisha kidogo..kama mshambuliaji amezidi kidole by an inch ambacho hakifungi,mshambuliaji anapewa advantage.Hii timu imeshaanza kubebwa tena, bila kubebwa hamuwezi kupata points
View attachment 2092458
Alan Shearer
"I though Cavani was offside"
Gary Neville
"Onside on my ipad."
Jack Wilshere
"That's offside at the Emirates!!"
Aymen Bengourina
"Cavani was clearly offside. Unbelievable."
????
"Cavani was clearly offside. I can't believe this robbery."
'robbed as usual',
'top six bias exists'.
Hela ya chini ni nusu ya hiyo. £50M hela nyingi mno.Ndo maana nikasema hela chini ya £50m..
Ko ronaldo hakuwa tatzo...huyu RR anafaa sn....ngonj niendelee kumuombeaTrue na Bruno ameanza kuinfluance games kama tulimvyomzoea.
Kijiji gani kikakosa wazee!! Kavani abaki astaafie hapo
Kila nikikumbuka wamiliki wa club ni The Glazers basi West Ham wakitaka hata £100m wapewe tu.Sitoi hela zangu mfukoni, kama declan rice anakuja sawa tu ilumradi timu ifanye vizuri.
Ohooo
Uyo Spurs kala jumla bao tano achana na zile za carabaommeshinda 5 ngapi? sisi tulimpiga tatu uyo
Asije kabisa, maingereza hayaaminiki unaweza kuliona linacheza vzr kumbe ni kwasababu lipo timu ndogo.Ndo maana nikasema hela chini ya £50m..