Maishanimagumu
JF-Expert Member
- May 9, 2020
- 258
- 578
Kidogo sana mkuu, In short jamaa huwa anakuwa pedestrian for majority of the 90 minutes, hawezi kujitengenezea nafasi za kufunga, 1v1 ndo kabisaa.. hana utofauti na Lukaku kwa sasa.Leo Ronaldo kaimprove sana. safi sana.
almost every player was at the top, top notch performance today.
Great.
Hamna mtu mwenye doubt kuhusu uwezo wa Martial. Tatizo lake ni inconsistency, leo anacheza vizuri kesho ovyo.Ifike muda greenwood aanzie benchi. Huu Ujinga umezidi.
Martial licha ya Ubishoo hana ubinafsi kivile na analink nzuri nampongeza kwa mechi ya Leo ila afocus na mpira aache ubishoo na drama.
Ronaldo bana aaah nisiongee nisije popolewa mawe.
Timu bado sana tunahitaji improvement ya ukweli hasa offensively.
Hongera wakuu kwa Ushindi.
Mimi alichonifurahisha leo ni kwamba, nimemuona akitoa pass katika nafasi ambazo mara nyingi huwa hafanyi hivyo, hata move ya gori ameshiriki, hayo mapungufu mengine bado anayo na ni tatizo kubwa, lakini kwa mara ya kwanza leo nimeona some positives, a little bit.Kidogo sana mkuu, In short jamaa huwa anakuwa pedestrian for majority of the 90 minutes, hawezi kujitengenezea nafasi za kufunga, 1v1 ndo kabisaa.. hana utofauti na Lukaku kwa sasa.
Kuna muda mpaka commentators walikuwa wanam criticize anafanya simulation. Badala ya kucheza mpira, anasubiri contact kutoka kwa opponent ili aanguke.
Nadhani pia ni muhimu kumtoa kwenye upigaji wa free kick. Conversion rate yake imepungua mno, ni either apaishe au agonge ukuta. Ego yake inatufanya tukose magoli ya free kick. Hayo majukumu aachiwe Bruno tu.
Nasubiri kwenye mechi kubwa(vs. Chelsea, Man City au Liverpool) nione kama kocha atampanga.
sure, I second you.10 points on Manchester United today!!!
1. Maguire had a great game
2. Varane still remains the best CB in the team.
3. Who needs a defensive full back when u are an attacking team?
4. Ronaldo gives more than just goals to games. He join in play to bring out goals too.
5. Greenwood is always greenwood. #selfish
6. Elanga is something to watch out for, especially the play between him and Fred.
7. Bruno should never play wings, he's best on a free role.
8. The team isn't ready for a 4-2-2-2 formation. This one suits them well
9. Rashford can be better, the coach shouldn't be deceived with his goals, he needs to be benched more at least for now.
10. Passes were faster and fewer possession were lost today.
Haya mambuzi ya kingereza yatokee accademy tu.Declan Rice ni mwingereza ndio lakini angekuwa anapatikana na bei chini ya £50m ingemake sense aje old trafford..siwapendi sana waingereza kwa sasa lakini huyu dogo ana umakini sana pale katikati na anajua kujiposition sana.
Kijiji gani kikakosa wazee!! Kavani abaki astaafie hapoWaendeeeeeeView attachment 2092205
Ndo maana nikasema hela chini ya £50m..Haya mambuzi ya kingereza yatokee accademy tu.
Angalia hela iliotoka kwa Sancho, Bissaka na Maguire halafu angalia wanachofanya uwanjani kama kinalingana na hizo hela.
Nadhani mbadala wa Rice tutafute option ingine kabisa.
January si ndo hii inaisha..hivi vijarida uchwara hivi..WaendeeeeeeView attachment 2092205
Wanahabari wa Uingereza ni washenzi, ni watu wa udaku udaku toka enzi za Napoleone the Great.January si ndo hii inaisha..hivi vijarida uchwara hivi..
Kwa Pesa ambayo, West Ham wanaitaka. Unaweza ukapata middle wawili wa uhakika.Declan Rice ni mwingereza ndio lakini angekuwa anapatikana na bei chini ya £50m ingemake sense aje old trafford..siwapendi sana waingereza kwa sasa lakini huyu dogo ana umakini sana pale katikati na anajua kujiposition sana.
huu ujinga wa kumcrown majojo kila jema na baya kumbebesha kocha huwa naona ni utopolo wa hali ya juu, it is about time babu majojo aache kuabudiwa timu ijengwe na mentality ya kufurahia kila moment kama yao na sio kumuenzi babuOur Coach, is likely the most intelligent coach in the UK now, ni cocha ambaye amekuwa na the most complicated entry kwenye hiyo position na hajapewa nafasi ya kutulia, yaani waandishi wa uiengereza hawajampa muda, wakaanza kutengeneza scenarios za mara ooh the team is divided, players are not happy, ooh cocha hamtaki fulani and lots of other shits.
lakini his responses has been professional and consistent, he has taken most criticism positive.
Sasa jana kuna muandishi kamuambia lile goli ni fergies time goal, akamuuliza kama tutegemee more fergie time goal. His response of super, top response.
Kwanza the last minutes, the last 3 minutes are the minutes to play also.
Pili akamuambia, to be realistic he was not expecting a goal at that kind of moment.
Last akamuambia, na hiyo fergie time, ndio nini, is it the last five minutes or what.
Actually they wanted to drug him into an unintelligent rhetoric which he smartly avoided.
Big up RR.
Yes msimu uliopita Rashford and Bruno Fernandez walifunga zaidi ya nusu ya magoli tuliyofunga.Kivipi mkuu?..sijakuelewa.
Limaguire leo limecheza roho inadunda Lindelof akija yeye anaenda benchi..kapiga mpira mkubwa leo..
True na Bruno ameanza kuinfluance games kama tulimvyomzoea.Yes msimu uliopita Rashford and Bruno Fernandez walifunga zaidi ya nusu ya magoli tuliyofunga.
Msimu huu ni Bruno Fernandez pekee ambaye ana goal contribution kubwa Rashford hakuwa na mwanzo mzuri but I can see mechi mbili hizi amefunga two crucial goals itamwongezea confidence na kufunga zaidi.
Hivyo tutegemee msimu wetu kuwa mzuri mwishoni, kwenye midfield Tominay amekuwa na energy ya kutosha jana alicheza vizuri mpaka akamkalisha Bowen na wenzake atleast we did it better
Tumebebwaje? Onside goal hilo.Hii timu imehsaanza kubebwa tena, bila kubebwa hamuwezi kupata points