Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni ngumu sana timu kuuza wachezaji dirisha dogo sababu timu zinataka ubingwa na kushiriki mashindano makubwa kwaiyo sitegemei man u tukifanya lolote dirisha ili lakini tuwe serious wazee kweli tuna wachezaji kama.

Martial

Cavani

Rashford

Ronaldo

Elanga

Sacho

Fernandez

Greenwood



Mnauakika shida ni wachezaji au kuna jambo lingine tu mbona hao wote walikotoka walikuwa wakali isije ikawa tuna mtafuta mchawi tusie muona ata hao watao kuja mnauakika wata fanya vizuri kweli.

Naona hii timu ina tatizo lingine tu ila sio la wachezaji.
 
Nakubali CR7 ni tatizo kwa United lakini sio tatizo kubwa kama unavyolizungumza I think una personal issue nae
Still na hizo weakness zake hatuna striker anayemzidi CR7 kwa kufunga magoli bila yeye Champions league tungekuwa tumeshatolewa ,major problem ya United iko kwenye midfield (offensive & defensive) ndio maana ni rahisi wapinzani kumfikia De Gea na timu ina-create nafasi chache za kufunga magoli hii iko wazi game alizocheza na ambazo hajacheza CR7 .United haiwezi ku-control game ukilinganisha na City/Liverpool/Chelsea ndio maaana ni rahisi kufungwa magoli mengi ndani ya muda mchache.Our midfield hawana consistency McTominay/Fred/Bruno/Matic wanaweza akacheza mechi moja nzuri then mechi 4 zijazo wakapotea kabisa ,pia kubadilisha makocha mara kwa mara kumesababisha wachezaji wameshindwa ku-adopt formation za makocha kabisa
 
Kosi la dunia on the stage na dunia yote ina furaha sema kama magwaya anaenda kuaribu furaha uyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…