We jamaa bhana, kwahiyo makipa wote bora wanapimwa pale team inaposhambuliwa tu au sijakuelewa point yako?De gea anaonekana Kwa sababu timu inashambuliwa na wapinzani wanapiga mashutii.
Timu ingekuwa inashambulia,de gea asinge kuwa anaonekana na wachezaji wa ndani NDIO wangekuwa wakionekana wanapiga kazi.
Sijasema maswala ya ubora.soma Tena Utaelewa.We jamaa bhana, kwahiyo makipa wote bora wanapimwa pale team inaposhambuliwa tu au sijakuelewa point yako?
Amepotezwaa na kocha wakeRonaldo kafura kutolewa,[emoji849]
ukweli usio fichikaMpaka kipindi cha kwanza kinaisha Man U hatuna shut on target hata moja.
Timu inakatisha tamaa sana, yaana bila ya juhudi binafsi za kipa inawezekana kwenye msimamo tungekua hata kwenye nafasi ya 15 huko.