Leo mmemuona Welbeck mchezaji wa maana eenh??!
Mkuu naona Baada ya kutusulubu jana Kila jukwaa reference yako ni Arsenal tu...;
mlinisumbua sana nyie..Mkuu naona Baada ya kutusulubu jana Kila jukwaa reference yako ni Arsenal tu...;
Well done ila bado ugonjwa wa kukosa magoli mengi haujaisha leo tulitakiwa kuwalipa man city kifurushi cha siku sita walichowapa kina kifulani jana
Kupigwa kubaya sana asikwambie mtu arifu. Siunaona hata JF ilivyotulia baada ya kisago cha jana!
ukiona hadi cleverly kashinda ujueshughuli wanayo..Tom makes it 3-0
Tartu bila