hivi kafanya nini tena huko? analazimisha kupangwa?Solskjaer alikuwa sahihi sana kumuuza Lukaku..Chezaji jinga sana hili..Chelsea nao watalitema muda sio mrefu.
hawa Wolves si ndo yuko ADAMA?Wolves wapo solid sana nyuma..kesho inabidi tucreate nafasi nyingi sana ili tuweze kushinda tofauti na hapo ni easy draw.
anadai hafurahishwi na jinsi anavyotumika pale na anaona kuwa alifanya uamuzi wa haraka kuondoka inter hivyo anahitaji kurudi kule kwani ndiko anakoona anapendwa na kutumika vizurihivi kafanya nini tena huko? analazimisha kupangwa?
HAHAHAHA, POGBA characters.anadai hafurahishwi na jinsi anavyotumika pale na anaona kuwa alifanya uamuzi wa haraka kuondoka inter hivyo anahitaji kurudi kule kwani ndiko anakoona anapendwa na kutumika vizuri
Kaenda public kusema kuwa Tuchel hamtumii vizuri..yaani mfumo.hivi kafanya nini tena huko? analazimisha kupangwa?
Yes..hawa Wolves si ndo yuko ADAMA?
Na huyo tuchel alimchukua wa nini kama anajua philosophy yake ya mpira haiendani na jamaa. au Abromovic aliforce?anadai hafurahishwi na jinsi anavyotumika pale na anaona kuwa alifanya uamuzi wa haraka kuondoka inter hivyo anahitaji kurudi kule kwani ndiko anakoona anapendwa na kutumika vizuri
waende tuKwenye timu yetu kuna watu wakuondoka ndani ya miaka 2 hii kuanzia sasa kama kweli tuna nia ya kufanikiwa...
1: wan bissaka
2: phil jones
3: lingard
4: ronaldo
5: Van de beek
6: matic
7; pogba
8: martial
9: cavani
Ninesema ndani ya miaka 2, kwasababu tutahitaji ziba gap zao.....hatuwezi kufanikiwa tukiendelea nao hao kwa miaka 2 zaidi kwenda mwaka wa 3.....
Kina mata ninewatoa hao hawana msaada wowote.
ni muendelezo wa kusajili majina badala ya right players wanao fit kwenye mfumo, hii kasumba sijui itaisha lini kwenye vilabu vya uingerezaNa huyo tuchel alimchukua wa nini kama anajua philosophy yake ya mpira haiendani na jamaa. au Abromovic aliforce?
Nadhani hawa makocha nao tukiwaangalia kwa ukaribu zaidi wana mapungufu mengi sana hasa kwenye intellectual perspective. waanaongea sana kama watu waliokwenye interviews za kazi, wakipewa opportunities delivery inabadirika, wanachokisema sio wanachokitekeleza.ni muendelezo wa kusajili majina badala ya right players wanao fit kwenye mfumo, hii kasumba sijui itaisha lini kwenye vilabu vya uingereza
Bodi ilikua inamtaka halaand lukaku amekuja kama option B na ndo maana unaona hata tetesi zake za usajil zilianza mwishoni kabisa kalibu dirisha la usajil kufungwaNa huyo tuchel alimchukua wa nini kama anajua philosophy yake ya mpira haiendani na jamaa. au Abromovic aliforce?
sasa kama Board ilikuwa inamtaka Haaland nani aliye approve usajiri wa Lukaku?Bodi ilikua inamtaka halaand lukaku amekuja kama option B na ndo maana unaona hata tetesi zake za usajil zilianza mwishoni kabisa kalibu dirisha la usajil kufungwa
Walimtaka haaland sababu ya umri wake na dau lake la 65M lilikua deal safi kwa Chelsea ila plan B lazima iwepo na piah lukaku alikua kwenye fomu nzurisasa kama Board ilikuwa inamtaka Haaland nani aliye approve usajiri wa Lukaku?
sasa Chelsea walikosa 65M kumchukua Haaland wakapata 100M Kumchukua Lukaku?Walimtaka haaland sababu ya umri wake na dau lake la 65M lilikua deal safi kwa Chelsea ila plan B lazima iwepo na piah lukaku alikua kwenye fomu nzuri
Wewe jamaasasa Chelsea walikosa 65M kumchukua Haaland wakapata 100M Kumchukua Lukaku?
Madrid na Barcelona waliisha kwisha, the balance of football has shifted to UK. Chelsea, City, Liverpool, Man Utd, Arsenal, Tottenham zinauwezo wa kuattract mchezaji yeyote duniani bila ushindani mkubwa kutoka nje ya UK, labda hapo Ujerumani kidogoWewe jamaahaaland ndoto yake kucheza Madrid sababu Chelsea walikua tyr kumpa mshahara wowot anaotaka ila haaland kucheza Chelsea sio ndoto yake