Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,524
Afadhali wewe umekuwa wazi, mashabiki wengi wa Ronaldo ndani ya Man Utd wanasukumwa na kutaka kumuona anamzidi messi records. This is not fair to the team.Hapo chini ungefaa umalizie
Mimi ni team messi
how?Acha roho ya kichawi mkuu, 🤝
Haieleweki analaumu kitu gani, mana performance yetu inajulikana tangu kipindi cha Ole, ss cjui anaiongelea man u gani.Hapo chini ungefaa umalizie
Mimi ni team messi
Hapa umeongopa mchana kweupe, Bruno kiwango kilishuka mda mrefu tu hilo lipo wazi, ofcz ngoja nikuache mana hapa umeonesha chuki za wazi wazi kabisa na ninavyozidi kuku engage nahisi utatoa boko zaidi ya hili mkuu.Look at this Fernandez, one of the greatest, I look at his beatful babes and this his beautiful wife and I just feel sorry for them.
His quality has significantly deteriorated after the coming of his home boy, Ronaldo.
Mambo ya Messi na ronaldo yalikwisha mda mbn au ww upo dunia ipi mzee.Afadhali wewe umekuwa wazi, mashabiki wengi wa Ronaldo ndani ya Man Utd wanasukumwa na kutaka kumuona anamzidi messi records. This is not fair to the team.
Hapa umeongopa mchana kweupe, Bruno kiwango kilishuka mda mrefu tu hilo lipo wazi, ofcz ngoja nikuache mana hapa umeonesha chuki za wazi wazi kabisa na ninavyozidi kuku engage nahisi utatoa boko zaidi ya hili mkuu.
Aliyeleta mambo ya messi vs Ronaldo ni niliye mquote. Do not be so negative with me.Mambo ya Messi na ronaldo yalikwisha mda mbn au ww upo dunia ipi mzee.
Aisee.I am not being emotional, I am just offering Ronaldo a fair assessment, He is doing more harm to the team than good. Ni mchezaji anayelalamikia wenzake dakika 70/90 za mchezo wakati sincerely yeye ndiye aliyepeswa kulalamikiwa.
Ronaldo ni sababu kubwa ya kiwango cha mpira cha timu kushindwa kuimprove consistently hata baada ya ujio wa RR sababu wakiingia tu uwanjani anataka kuattract attention ya timu nzima, anawasababishia wachezaji kigugumizi wakiwa na mpira, wapige kwa mchezaji aliyejiposition au wapige kwa Ronaldo, matokeo yake hata yeye mwenyewe hapatiwi quality passes.
wewe unaangalia magoli anayofunga mimi naangalia contribution yake to the timu, naangalia anachofikiria na namna anavyo affect an entire timu.
I wish one of these days aanzie benchi.
Kwani mimi huwa naangalia mechi gani?? Haya ni mapyaAliyeleta mambo ya messi vs Ronaldo ni niliye mquote. Do not be so negative with me.
Do not look at me, look at the team.
Ronaldo ndio mchezaji anayelalamikia wenzake kuliko mwingine pale EPL. Anajikuta anajua kuliko mchezaji yeyote ndani ya timu.
unaelewa madhara ya tabia za namna hii?
Aliyeleta mambo ya messi vs Ronaldo ni niliye mquote. Do not be so negative with me.
Do not look at me, look at the team.
Ronaldo ndio mchezaji anayelalamikia wenzake kuliko mwingine pale EPL. Anajikuta anajua kuliko mchezaji yeyote ndani ya timu.
unaelewa madhara ya tabia za namna hii?
MuuzeniI am not being emotional, I am just offering Ronaldo a fair assessment, He is doing more harm to the team than good. Ni mchezaji anayelalamikia wenzake dakika 70/90 za mchezo wakati sincerely yeye ndiye aliyepeswa kulalamikiwa.
Ronaldo ni sababu kubwa ya kiwango cha mpira cha timu kushindwa kuimprove consistently hata baada ya ujio wa RR sababu wakiingia tu uwanjani anataka kuattract attention ya timu nzima, anawasababishia wachezaji kigugumizi wakiwa na mpira, wapige kwa mchezaji aliyejiposition au wapige kwa Ronaldo, matokeo yake hata yeye mwenyewe hapatiwi quality passes.
wewe unaangalia magoli anayofunga mimi naangalia contribution yake to the timu, naangalia anachofikiria na namna anavyo affect an entire timu.
I wish one of these days aanzie benchi.
Watu watabisha humu..I am not being emotional, I am just offering Ronaldo a fair assessment, He is doing more harm to the team than good. Ni mchezaji anayelalamikia wenzake dakika 70/90 za mchezo wakati sincerely yeye ndiye aliyepeswa kulalamikiwa.
Ronaldo ni sababu kubwa ya kiwango cha mpira cha timu kushindwa kuimprove consistently hata baada ya ujio wa RR sababu wakiingia tu uwanjani anataka kuattract attention ya timu nzima, anawasababishia wachezaji kigugumizi wakiwa na mpira, wapige kwa mchezaji aliyejiposition au wapige kwa Ronaldo, matokeo yake hata yeye mwenyewe hapatiwi quality passes.
wewe unaangalia magoli anayofunga mimi naangalia contribution yake to the timu, naangalia anachofikiria na namna anavyo affect an entire timu.
I wish one of these days aanzie benchi.
Msimu huu hakuna mechi hata moja tuliyocheza vizuri..ukiacha ile ya Leeds kidogo..Haieleweki analaumu kitu gani, mana performance yetu inajulikana tangu kipindi cha Ole, ss cjui anaiongelea man u gani.
Manure bila Pogba na Bruno kwenye ubora wao hakuna timu hapoMsimu huu hakuna mechi hata moja tuliyocheza vizuri..ukiacha ile ya Leeds kidogo..
Mechi zote hovyohovyo..bora hata misimu miwili iliyopita kuna mechi tulikuwa tunacheza vizuri kidogo.
Hata mimi nakubali, naamini ni bora zaidi hata ya Pele sababu simjui huyo pele vizuri kihivyo. Lakini anaigharimu timu kwa sasa.
Tatizo halijabadirika sawa, lakini mfumo wa timu umebadirika. sasa tunalalamika anatakiwa sijui holding midfielder, lakini hata akija wa kutoka sayari ya mars atachemsha kama akicheza na Ronaldo huyu wa sasa.Haieleweki analaumu kitu gani, mana performance yetu inajulikana tangu kipindi cha Ole, ss cjui anaiongelea man u gani
31 August 2021 nilitoa Kia Kuwa sikufurahishwa na usajili wa Ronaldo wengi hawakuiona hasara ya kuwa na Ronaldo kikosini kwenye epl hope sasa tunaanza kuzungumza lugha moja.Tatizo halijabadirika sawa, lakini mfumo wa timu umebadirika. sasa tunalalamika anatakiwa sijui holding midfielder, lakini hata akija wa kutoka sayari ya mars atachemsha kama akicheza na Ronaldo huyu wa sasa.
Pale mbele kocha kawaweka wawili, 4-2-2-2, lakini ukiangalia body na verbal language zake ni kama analazimisha wacheze 4-2-2-1-1.
Alafu yeye mwenyewe ha hold mipira, ni mtu wa kujiangusha na kubutua butua, mpaka afanye meangful attempt au afunge ni ama mpira umkute kwenye penalty box, au atanguliziwe awe yeye na kipa, one on one lazima ajiangushe.
matokeo yake, kumpasia Ronaldo Mpira ni kama kuwapa wapinzani.
Spot on...ronaldo ni mzigo waazee, kuangalia idadi ya magoli pekee ni upofu na mapenzi, yani mtu hawezi hata kumpita adui wakiwa 1v1, mtu kweye ujenzi wa mashambulizi anategemea tuu kukimbia na kunyoosha mikono juu akinyimwa pasi, hata mkisema eti amesajiliwa kwa majukumu ya kufunga tu, kwenye swala la positioning anazidiwa hata na cavani bila kusahau movement zake pale mbele kama namba 9 zinawanyima kabisa viungo nafasi nzuri ya kupenyeza pasi za mauaji, bruno kabla ya ujio wa ronaldo alikuwa na ma assist kibao lakini kwa sasa ana struggle kwa sababu timu imekosa balance kabisa eti kisa jukumu la kufunga kakabidhiwa mzee fulani.