Leo malalamiko hakuna Timu la Dunia,daaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
bwana COFFEE unaangalia mpira au upo JF!!!utoto huo,khaaaaa
Said itSema Burnley wanaweza pata goli
Unaenda wapi aiseeSafi sana kwa kupata magoli mawili. Usiku mwema
Rashid Fuadi ni mpuuzi sana. Dogo nilimuona anafika mbali sana lakini kalewa sifa asubuhi sana na hivi ni MBE mbona hatari.lazima uwatafutie sababu watoto wapendwa wa kiingereza ili upate nafasi ya elanga, ndio anachokifanya kocha, naona rashidi makame alishakula nyundo
Mkuu unaangalia mpira au unatangaza mkuu (jokes)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani Maguire Nilijua Tuuu balada ya kukaba anamkimbia
[emoji1]Yaani maneno mengi Timu yenyewe ya Tatu kutoka mwisho,khaaaa
ni boya sana slub headYaani Maguire Nilijua Tuuu balada ya kukaba anamkimbia