suddenly i feel confident baada ya kuona hiki kikosi, nadhani ka greenwood ndio kanatakiwa kuonyesha kuwa kanatakiwa kuendelea kupangwa au aaminiwe elanga, hii mechi ni ya mtego kwakeTusipo shinda leo ndapotezea kucheki game kwa kosi hili.View attachment 2063153
😅😅😅 wee jamaaGame ya leo mfanye juu chini mshinde, msipo shida mtajuta kwann hii thread ilianzishwa. Hasira zote tutamalizia hapa.
Mzee amefanya sawa Ronaldo na Cavani kua pamoja na DM Matic na MC ila hawa wawili wote hawana speed so katikati panaweza kua pazito.
Greenwood sidhani kama ana skills na pace za kumuweka pembeni hivyo natarajia upande wake kupwaya katika kushambulia na pressing.
Elanga kama mtu fulani hatari sana sijui kwanini hapewi nafasi.suddenly i feel confident baada ya kuona hiki kikosi, nadhani ka greenwood ndio kanatakiwa kuonyesha kuwa kanatakiwa kuendelea kupangwa au aaminiwe elanga, hii mechi ni ya mtego kwake
Accumulated yellow cards..Sijaelewa RED CARD ya Bruno Ferdinandez inayomuweka nje leo. Au ni accumulated Yellow Cards.
Iceman hayupo?Kidogo leo kocha kafanya sabu ila magwaya hapana uyu jamaa anadawa sio bure.
lazima uwatafutie sababu watoto wapendwa wa kiingereza ili upate nafasi ya elanga, ndio anachokifanya kocha, naona rashidi makame alishakula nyundoElanga kama mtu fulani hatari sana sijui kwanini hapewi nafasi.
nina shauku sana kuawona chini ya huyu kocha, hasa shawShaw na AWB wamerudi tena kwenye XI!!???!!
Acha tuone.
huku kwetu kila mechi ya saa tano hivi karibuni lazima mvua inyeshe iniharibie mtandao nikiwa nna stream dadeki
guinea BissauWap huko mvua inanyesha?
umeanza ramli mapema, mdomo utaponza kichwaKama DMs ni hao na hawa Burnley wanacheza 4 katikati mbona kama mtatafutwa sana