mashinetata
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 396
- 911
Hii ni timu joh unapokuwa hapo huwezi sema unaweka hisia zako mbele kabla ya timu na sio swala la democracy kwamba kila mtu awe na analo litaka au analo lihisi ni sawa kwake.People react differently to stressful situations. May be for Paul and Jingz dancing is a way to deal with stress.
Hapo Wazza aliwaza kwa ubinafsi sana, yaani anataka watu wote wanune na kuchukia kwa namna kama yake wanapofungwa?
Ndiyo maana Afrika kuna makabila kwenye msiba wao wanacheza ngoma kabisa.
Wazza had it wrong
Unataka jambo ambalo haliwezekani mazee. Yaani watu wote 22 waonyeshe hisia sawa? Hao wanakuwa siyo binadamu tena.Hii ni timu joh unapokuwa hapo huwezi sema unaweka hisia zako mbele kabla ya timu na sio swala la democracy kwamba kila mtu awe na analo litaka au analo lihisi ni sawa kwake.
Imagine mpo katikati ya mechi ya liverpool tumefungwa goli tatu halafu kuna mchezaji anaenda kuungana na wachezaji wa liverpool kushangilia linapo ingia goli la nne na atoe sababu ya hovyo kama hiyo kuwa ndio mbinu yake ya kuhandle stress?
Unakumbuka chelsea mashabiki na viongozi walivyo mshambulia batshuayi alivyo mcheka morata baada ya kukosa penalt?
Unamkumbuka roy kean alisha wahi kuwambia hao kina rashid kwamba "Too much hug after deby"?
Huna akili weweUnataka jambo ambalo haliwezekani mazee. Yaani watu wote 22 waonyeshe hisia sawa? Hao wanakuwa siyo binadamu tena.
Kwanini tujadili imaginations? Sijawahi kuona hilo likitokea. Tujadili uhalisia.
Sasa unaanza kulinganisha Mancunians na hao Rent boys? Unaelewa tofauti kati ya hao mashabiki?
Mentality ya Keano huwezi kuileta kwa hawa Millenials. Vizazi vinabadilika. Huwezi kutaka Millenials waishi kama wale wa kizazi cha BBC!
Toka zako hujui kituThat’s your perspective, which I respect. But, it isn’t necessarily true.
You can’t force a similar emotion reaction to a group of 20 people. It is humanly impossible.
Mkuu unapokuwa kwenye taasisi fulani au una wakilisha taasisi fulani ambayo kwa namna moja au nyingine ndio inakuletea ugali basi ni lazima uweze kwenda na trend yake katika kila kitu.Unataka jambo ambalo haliwezekani mazee. Yaani watu wote 22 waonyeshe hisia sawa? Hao wanakuwa siyo binadamu tena.
Kwanini tujadili imaginations? Sijawahi kuona hilo likitokea. Tujadili uhalisia.
Sasa unaanza kulinganisha Mancunians na hao Rent boys? Unaelewa tofauti kati ya hao mashabiki?
Mentality ya Keano huwezi kuileta kwa hawa Millenials. Vizazi vinabadilika. Huwezi kutaka Millenials waishi kama wale wa kizazi cha BBC!
Kumbe kuna wachezaji wamekutwa na "Macron" mkuu ??Hello Guys.
Ni wachezaji wepi wamekutwa na Macron?
wait.. what else could get our matches postponed?Kumbe kuna wachezaji wamekutwa na "Macron" mkuu ??
hahahaha wanategemea usajili mkuu, ila mpaka usajiri ufunguliwe watakuwa na hali mbaya sana....hawa newcastle leo waweza pigwa 10+, sielewi MBS anampango gani na hii timu kwa kweli?
sureChelsea wamekata moto
I hope, Na sisi watatuachia point next sundayhahahaha wanategemea usajili mkuu, ila mpaka usajiri ufunguliwe watakuwa na hali mbaya sana....
Ila mimi naamini Newcastle sio wabaya mama matokeo wanayopata sahizi.....
ngoja tuone january watasajili nani
Ila wakienda championship itawasumbua kupanda daraja na hata kupata wachezaji wazuri