Kieran McKenna has been granted permission to speak to Ipswich Town about their vacant managerial role. Talks are ongoing.
#mufc will not stand in his way as it is viewed as a great opportunity for McKenna
Official: #mufc have suspended football training operations at the Carrington for a short period to help reduce risk of further coronavirus transmission
Wasimamishe tu ligi japo sijui ratiba za vilabu vinavyoshiriki mashindano ya Ulaya zitakaaje pamoja na wachezaji watakaohitajika AFCON maana kama wakiruhusiwa kushiriki na EPL ikisimamishwa itazidi kuwa hali mbaya zaidi wakirudi itawabidi kufanya self isolation na wiki kadhaa UCL, UEL na Conf. League zitakuwa zikirejea na wiki kadhaa tena mbele kutakuwa na WC Qualifiers Playoffs.
Kama msimu utaendelea hali itakuwa mbaya sana kwetu maana inaonyesha walioathirika kikosini kwa Covid ni wengi, inasemekana kwa United waliokuwa fit kucheza weekend kwenye kikosi cha kwanza ni 7 tu. Ligi ikiendelea itatugharimu sana maana muda watakaoutumia wachezaji walioathirika hadi kupona jumlisha na muda wa kufanya mazoezi ili ku-gain match fitness watatumia muda mrefu sana. Pamoja na shughuli zote kufungwa Carrington kwa sasa maana yake wachezaji waliokuwa majeruhi bado hawajapata sessions za kutosha kurudi kikosini bado hapohapo tuna kocha mpya ambaye ndiyo alikuwa anaanza kupata full sessions, ku-implement tactics zake na kuchagua 1st eleven yake.