Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Draw imefutwa naona nyinyi kunguni mmeenda kuwalilia uefa kwamba psg ni wa moto.
Huna hata aibu, niseme huna hata akili tu kidogo tu, kutambua ya kwamba hio ilikua mechi ya mchongo au ya kibiashara kati ya mesi mzee na ronaldo, kama zilivyo tuzo za mchongo za Balon O Dor unawajua uefa unawasikia wewe, uefa ndio tifutifu( TFF) ya ulaya
 
Mabingwa watetezi tumepewa mteremko..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mwenye nacho huongezewa. πŸ˜€πŸ˜€

Tukutane Fainali na mbanga yeyote ile.
 
ugomvi wa wanafamilia hautauweza, acha kupotosha.
 
Ronaldo ni yule yule mkuu miaka yote hajawahi kubadilika labda ubadilike wewe mkuu, atakukera mechi moja atakufurahisha mechi 10, yuko hivyo miaka yote tangu akiwa mdogo pale Utd.
Usikufuru mkuu. Namuelewa Ronaldo pia. huyu wa sasa mpira uko mguuni anashindwa kuelewa haufanye nini sababu umemsogolea sana, anapiga shuti anaukosa mpira, Ronaldo huyu uwezo wa kucontrol mpira umeshuka, mipira inamgonga inaondoka, hawezi kupiga chenga, hawezi kugeuka n.k

anakabiliwa na issue ya umri ukijumlisha kwamba analazimika kuhakikisha haumii, anakuwa mzigo.
Yet he is our top scorer.

Ninachokiona, Rashid na Martial wakiimprove asilimia 10% kila mmoja, Ronaldo anakalia benchi.
 
Umenchekesha mkuu ila ni maoni yako ngoja tuone.
 
Leo ipi tena mkuu. Tumefungwa Tano na Riverpool Ronaldo hakufunga, Nne na Leister akafunga kamoja, Nne na wale watoto gani sijui. unazungumzia hari gani aliyoleta Ronaldo?

Ukiondoa mechi tatu za mwisho wa msimu? zile ambazo tulikuwa hatufungwi ugenini, ukaangalia na mechi za msimu huu baada ya ujio wa Ranaldo, chini ya OLE, ni wakati gani wachezaji walikuwa na ari?

Mimi simzungumzii Ronaldo wa history, hatuwezi kwenda mbele kwa kufuata history mkuu.
 
History wkt ndio top scorer wako, are you serious mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…