Manchester United (Red Devils) | Special Thread

PSG vs Manchester United ni mechi ya kutengenezwa, kwa walioangalia draw wanajua kabisa hii ni mechi ya mchongo.

Uhuni ulianza tulivyokuwa drawn na Villarreal, teams from the same group, how is that possible!?
Nilitaka nicommemt hivi pia....hiyo mechi ni ya kibiashara zaidi
 
Wanaiba idea ya super league sio..

Kwamba kila stage atleast basi kuwe na fixture moja ya kuvutia sana.

Uefa wamechemka sana na hii Messi vs Ronaldo.
 
Wanaiba idea ya super league sio..

Kwamba kila stage atleast basi kuwe na fixture moja ya kuvutia sana.

Uefa wamechemka sana na hii Messi vs Ronaldo.
Draw imefutwa naona nyinyi kunguni mmeenda kuwalilia uefa kwamba psg ni wa moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…