Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Hilo hatulikatai...Hapo ndio utajua kwamba Arsenal ni vibonde wetu daima
Hilo hatulikatai...
Na nyinyi ni vibonde wa nani?, Hull City?, Newacastle?, West Brom?...
Ama ni #Jamvilawageni ? Maana kila mgeni akija Old Trafford anajipigia tu...
#Mtazoeatu ..
Hilo hatulikatai...
Na nyinyi ni vibonde wa nani?, Hull City?, Newacastle?, West Brom?...
Ama ni #Jamvilawageni ? Maana kila mgeni akija Old Trafford anajipigia tu...
#Mtazoeatu ..
Hapo ndio utajua kwamba Arsenal ni vibonde wetu daima
Kama ni kila Mtu anajipigia mbona nyinyi mlipigwa?
Hivi yohana cabaye ni kabila gani? Kawaharibia man u vibaya sana.kitaa kimyaaa
Kama ni kila Mtu anajipigia mbona nyinyi mlipigwa?
Ni muda mrefu sana umepita kwa mashabiki wa Man Utd kuwa katika hali hii.
In fact, wengi wao, hasa wale walioanza kuishabikia hii timu juzi juzi, are not used to this at all.
I am sure Man Utd will bounce back, but I also expect mashabiki wao ku-respect timu nyingine.
lini maana mwasemaga CHRISTMAS!?