Kwa team ya taifa hana namba pale!! Nani atakaa bench palee!? Awaombee njaa tu, wapate majeruhi, au aongeze juhudi kwenye mashambulizi.Bissaka ana ball control mbovu sn, no wonder aliachwa kwenye WC, ila huenda kocha pia alichangia, ngj tuone this time itakuwaje chini ya Ralf Rangnick.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusimsahau Ahmad Kibindoni[emoji23]Huyu kocha anajua sana hii sub ilinishangaza sana lakini nikagundua anajua
Good question? Nasubiria majib yakeAwaulize wachambuzi kina Scholes, Neville, Keane. Walivyokuwa makocha ilikuaje!?
Tukishinda zote hizo basi nafasi ya 1 au 2 yetuHizi mechi zote tutashinda, Ole katuharibia sn timu mpuuzi yule.View attachment 2034302
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] [emoji16] [emoji2]Sosha alikua anatuhujumu na dna yake
Kumbe tunaupiga mwingi ivi
ilo ni litakataka sjawai ona librazil lisilojua ata kumilik mpira, kutoa pasi yan limekaa ki mchongo mchongo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Inastaajabisha sana, ndani ya wiki moja makocha wawili tofauti wameweza kuifahamu position ya fred ya B2B huku upande mwengine kuna mwanadamu alihangaika naye miaka mitatu kwa kumchezesha DM.
Huwa unaangalia akicheza team ya taifa!? Au huwa unacheki mpira kwa kusoma comments!?ilo ni litakataka sjawai ona librazil lisilojua ata kumilik mpira, kutoa pasi yan limekaa ki mchongo mchongo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using motorola 78
Ten game gift for Ralf.Hizi mechi zote tutashinda, Ole katuharibia sn timu mpuuzi yule.View attachment 2034302
Sent using Jamii Forums mobile app
OGS hakua kocha wa mpira, viongozi wa man utd bomu sana, yaan imewachukua eti 3years kutambuaBaada ya mechi 15 kucheza uwanja wa nyumbani ndio tumepata cleansheet.