Mkuu bila shaka umeninukuu isivyo paswa, mimi sina tatizo na ushindi, kuna jamaa anajiita mbuzimawe nadhani huyu ni mamluki analeta mzaha humu jamvini.sawa tulifungwa 4 na Watford swali la kujiuliza baada ysa kufungwa na watford tumecheza mechi ngapi? almost tumeshinda zote icpokuwa tu draw na Chelsea auoni improvement apo
lets celebrate a winning we are REDS
Silipendi Maguire
Hiyo picha maana yake ni kwamba wanakumbuka taa wkt kumeshakucha.Mkuu, Toka kwenye hicho kichaka! View attachment 2031247
Dalot alikamua sana, alijitahidi kushuka maana kupanda huwa anaweza. Cross na pass za mwisho zilikuwa vzr sana. Ila endapo tutakutana na timu yenye uwezo wa kumiliki mpira kama Man City, tutasumbuka, maana gaps zipo nyingiKwa alie muangalia Dalot anisaidie, maana mimi sijamuelewa kabisa, bola ya Bissaka.