Binti wa kipemba una lipi lingine la kusema?Kipindi cha pili, kamba mbili tuone mtachomoa tena
Mnajikuta mafundi sana kuchomoa mabao, kama mabinti wa tanga
Nadhani kutocheza muda mrefu kidogo, ila Telles kajitahidi sana akikaza hivi mpaka Luke Shaw arudi competition ya namba itakuwa nzito sanaYaah,mara mbili hata goli la pili aliacha sana nafasi upande wake..
Fred na Telles mahomeboy hao..
Hata Dalot hajawa mbaya..tumpe game time kwenye mechi zijazo.Nadhani kutocheza muda mrefu kidogo, ila Telles kajitahidi sana akikaza hivi mpaka Luke Shaw arudi competition ya namba itakuwa nzito sana
Mkuu hata mimi niliona alivyo toka Rashfod angeingia Greenwood alafu ile taka taka Martial isingeingia kabisa leo.
São brasileiro, mesmo pais mesma equipe.Yaah,mara mbili hata goli la pili aliacha sana nafasi upande wake..
Fred na Telles mahomeboy hao..
Dalot nimemuelewa kiasi..AWB anakuwa mzigo sio kitoto.Kwa alie muangalia Dalot anisaidie, maana mimi sijamuelewa kabisa, bola ya Bissaka.
Surely atakuja kuwa kocha mkuu mbeleni.. acha atafute experience zaidi.. Thank you for you service sir, as a player and a coach.. LegendAsante Michael Carrick kwa zawadi ya mwisho uliyotupatia. A Player, a coach, a manager View attachment 2031013
Umeangalia mpira kweli chief?Penati ya michongo ile,tusijipe sifa wana Man U wenzangu,timu yetu bado mbovu,ina shida sehemu nyingi
Hahahaaa! Kama mimi akifunga Egyptian King, yaani hata tupigwe mia ila mfalme akifunga roho yangu kwatuuuTumeanza kuhesabu upya 801 Ni yuleyule Cr7 usiku mwema akifunga huyu mi kwangu mechi imeisha.
Sent from my RMX2189 using JamiiForums mobile app