Kwa hii timu uiyoipanga ni ngumu kuwin match, United ni wazuri going forward lakini unahitaji kuwin possessionMechi sita za EPL dhidi ya Arsenal hatujashinda hata moja..D3,L3....We have to win this..surely.
My Starting XI
=======
De Gea
AWB Lindelof Bailly Telles
VdB Matic Fred
Sancho Ronaldo Rashford
=======
But nadhani Carrick atamrudisha Maguire kikosini na pia Fernandes ataanza.
AWB amekuwa hovyo ila ukiangalia replacement yake ya Diogo Dalot bado ni mchechemo tu vilevile defensively..Saka na Smith Rowe watamtesa sana Dalot on flanks ndo maana naona AWB acheze tu ili kusaidia kidogo..Kuhusu RB,ni muda wa kuandaa mchezaji mpya eneo hilo.
McTominay is a hider..jamaa kanajificha hakataki hata kapewa mpira ili kasipewe lawama..kuna muda unasahau kama hata yupo uwanjani..anakimbia mpira..I won't starts him in my team to be honest..He's absolutely useless..His positioning off-ball ni kitu cha kukiangalia sana..
kwa nini munapenda kuitumia mara kwa mara hii hoja ya kutokuwa na uzoefu kwa baadhi ya wachezaji wenu waliopo kikosini, kwa mfano nimeona comment zako na baadhi ya wenzako baada ya kufungwa na liverpool FC pia mulijificha kwenye hoja hiyo hiyo ya inexperience ndio iliowaadhibisha.Kama Arsenal tukiwa technically secure tunawin, japo kuna exception cases km Transition zinaweza kutuua kutokana na inexperience of our players.
Mchezaji kama Saka na ESR wanakupa profile & quality ya kuimplement vizuri system yako kama kocha, au kwa maana nyingine wanacomplete well their roles within Arteta's structure kuliko hawa kina Pepe & El neny.kwa nini unapenda kuitumia mara kwa mara hii hoja ya kutokuwa na uzoefu kwa baadhi ya wachezaji wenu waliopo kikosini, kwa mfano nimeona comment zako baada ya kufungwa na liverpool FC pia ulijificha kwenye hoja hiyo hiyo ya inexperience ndio iliowaadhibisha.
hivi ishu ni uzoefu kama unavyozungumza au ni kukosa kwenu wachezaji wenye ubora kuanzia wale wanaoanza kikosini mpaka wale wanaokaa benchi ndio sababu ya kushindwa kufanya vizuri dhidi ya timu zenye ubora kama vile liverpool, manchester city na chelsea?
kwa mfano wachezaji vijana kama vile smith rowe na bukayo saka wana msimu wa pili huu wanacheza kila wiki kwenye timu yenu, sasa inawezekana vipi mchezaji mfano wa pepe, elneny wote kwa pamoja wawekwe benchi na wachezaji wasiokuwa na uzoefu wa kimashindano.
Naamini changamoto kubwa inayowakabili ni kuwa na kundi dogo sana la wachezaji wenye ubora na si uzoefu.
Mfano mkuu nikuulize kitu kimoja, Van dijk anaweza kuhold high line press against any team in the World mfano. tuliona vs Barca ila mechi Liver anashinda 4-0,kwa nini munapenda kuitumia mara kwa mara hii hoja ya kutokuwa na uzoefu kwa baadhi ya wachezaji wenu waliopo kikosini, kwa mfano nimeona comment zako na baadhi ya wenzako baada ya kufungwa na liverpool FC pia mulijificha kwenye hoja hiyo hiyo ya inexperience ndio iliowaadhibisha.
hivi ishu ni uzoefu kama unavyozungumza au ni kukosa kwenu wachezaji wenye ubora kuanzia wale wanaoanza kikosini mpaka wale wanaokaa benchi ndio sababu ya kushindwa kufanya vizuri dhidi ya timu zenye ubora kama vile liverpool, manchester city na chelsea?
kwa mfano wachezaji vijana kama vile smith rowe na bukayo saka wana msimu wa pili huu wanacheza kila wiki kwenye timu yenu, sasa inawezekana vipi mchezaji mfano wa pepe, elneny wote kwa pamoja wawekwe benchi na wachezaji wasiokuwa na uzoefu wa kimashindano.
Naamini changamoto kubwa inayowakabili ni kuwa na kundi dogo sana la wachezaji wenye ubora ukilinganisha na timu tatu nilizozitaja hapo juu na si uzoefu.
now nimeona improvement kubwa sana ya kujadili mambo tofauti na ulivyokuwa mwanzoni,Mchezaji kama Saka na ESR wanakupa profile & quality ya kuimplement vizuri system yako kama kocha, au kwa maana nyingine wanacomplete well their roles within Arteta's structure kuliko hawa kina Pepe & El neny.
Mawazo yake ila ole uwezo wake mdogo bado anahitaji kujifunza Sanadah! huu msimamo wa ligi kuu ya msimu huu umeshagawanya magiants na mapema, ina maana sisi wengine tunaigombania nafasi ya nne.
Ole ametunyonya vibaya sana, paul merson anasema Ole ameharibiwa plan zake baada ya kusajiliwa kwa ronaldo.
Sio ameharibiwa, mapungufu yake makubwa yalikuwa exposed kwa ujio wa Ronaldo.dah! huu msimamo wa ligi kuu ya msimu huu umeshagawanya magiants na mapema, ina maana sisi wengine tunaigombania nafasi ya nne.
Ole ametunyonya vibaya sana, paul merson anasema Ole ameharibiwa plan zake baada ya kusajiliwa kwa ronaldo.
Saa tano na robo usikuGuys hii mechi saa ngapI?
Kikosi si bado mpaka 22:15
Kwa dalot pale kama tumepigwa hivi bisaka sijui yukwapiMaguire anadawa sio bure uyu ngoja tuone leo.View attachment 2030899