waOLDmoshi
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 879
- 1,753
Tuchel Tactician kipindi cha pili hawa kunguni watajua hawajui...Man u mkizubaa mtakojozwa vingi mno
Show max ya kulipia...Mkuuu waipata wap maana hesgol kwakel mateso
Showmax ni ya DSTV, bora tumia app ya live football tvMkuuu waipata wap maana hesgol kwakel mateso
Ongea kwa sauti nyumbu wenzako wakusikie...Sancho anamchosha Bissaka, anakabia katikati almost kwenye dimba, Alonso anajiendea tu.
Rashidi yeye anakabia macho dah noma.
Matic asirudi, weka bench Rashford ingiza Greenwood.
Anyway tukishinda itakua tumeokota papai kwenye mzambalawe.
Alonso hakuna kitu hana mbio shida iko hapoTuchel Tactician kipindi cha pili hawa kunguni watajua hawajui...
Na wakiweka Ronaldo hii game basi wajue wapo 9 uwanjani.
Tuchel atafanya kitu kipindi cha pili.Alonso hakuna kitu hana mbio shida iko hapo
Wetu tayarTuchel atafanya kitu kipindi cha pili.
Hawa Kunguni wanafungika...
Sancho anamchosha Bissaka, anakabia katikati almost kwenye dimba, Alonso anajiendea tu.
Rashidi yeye anakabia macho dah noma.
Matic asirudi, weka bench Rashford ingiza Greenwood.
Anyway tukishinda itakua tumeokota papai kwenye mzambalawe.
Hawa ni ndugu zako unatoka nao jiji moja mbona unawafanyia hivo?Poor united ...
Wachezaji hawana nguvu ,hawajui kupress ....
Sijui wanekuka makande kudadekiiiiiii
Wachezaji unao Sasa?Hivi tunashindwa nini kupiga walau pass 4/5 kwenda mbele wakati tunatengeneza mashambulizi?
Tumekuwa kama burnley inacheza na prime liverpool au city!
Hawa ni chelsea tu wenye chalobah,odoi,loftus-cheek lakini tunashindwa kuwamiliki kiuchezaji!
Aliyepanga kikosi cha united amechagua timu kama vile anacheza game ya fifa 21.
Ameamua kurely kwenye speed ya Sancho na Rashford.
Nadhani yeye anapenda zaidi kuwa DoF na sio kocha moja kwa moja.Kama ni kocha mzuri ktk kutengeneza mfumo mzuri Wa kiuchezaji kama anavyosemwa kwa nini wasimpe mkataba Wa kudumu tu!!?
Vp bia inapita kweli?Nipo zangu Showmax leo
Lakin huyo huyo sancho sikawaweka mjini?Sancho anamchosha Bissaka, anakabia katikati almost kwenye dimba, Alonso anajiendea tu.
Rashidi yeye anakabia macho dah noma.
Matic asirudi, weka bench Rashford ingiza Greenwood.
Anyway tukishinda itakua tumeokota papai kwenye mzambalawe.