Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Evra: “Mauricio Pochettino, one name linked, didn't win anything with Tottenham, and if he comes in and doesn't win anything after a few months, some will be saying: 'Why did we get him? We want a winner.'

manutd |
#GGMU
Kama ishu ni makombe huyu Ralph pia atasemwa hana DNA ya makombe makubwa
 
Kwa ufupi leo Manchester United wanashinda kwa ushindi wa goli 2 au zaidi (believe it or not)

Rashford atakuwa mmoja wa watakaoingia kambani (he loves playing against Chelshit)

Chelshit hawataamini wanachofanyiwa vijana wa kikundi cha TUCHELIBAN.

Chelshit hawatafunga goli zaidi ya moja au hawatafunga kabisa.

Possible results: 0 - 2, 1 - 2, 0 - 3
 
Nonsense kama Timu zilizoko kwenye form zilishindwa kutufunga Chelsea zaidi ya goli moja nyie Timu ambayo ni ovyo mtaweza?kubalini Tu Kwa sasa hivi hamna uwezo wa kuifunga Chelsea
 
Mzee unakumbuka kipigo cha Liverpool Tena rival wenu ...... Kiufupi wachezaji wa man utd uwezo ni mdogo Sana ........
 
Haya ni MAHABA

GGMU Forever
 
Nonsense kama Timu zilizoko kwenye form zilishindwa kutufunga Chelsea zaidi ya goli moja nyie Timu ambayo ni ovyo mtaweza?kubalini Tu Kwa sasa hivi hamna uwezo wa kuifunga Chelsea
Sasa we ulitegemea niseme leo tunafungwa?
Na wewe unaamini kweli leo mnafungwa? Utaaminije mnafungwa wakati hata mechi haijachezwa?

Subiri mechi ikichezwa ndiyo utajua nilikuwa nasema ukweli au uongo kwamba leo Chelshit wanafungwa siyo chini ya goli 2.
 
United ana odds 6.85 kwamba anashinda. Anayeamini united anashinda asubiri mpaka dakika ya 30 akiwa kafungwa moja au bila bila kisha ampe united na aweke hati ya nyumba
 
Mvua kunyesha kidogo mshaanza kulala na mnaota vitu vya ajabu tu....
 
Nonsense kama Timu zilizoko kwenye form zilishindwa kutufunga Chelsea zaidi ya goli moja nyie Timu ambayo ni ovyo mtaweza?kubalini Tu Kwa sasa hivi hamna uwezo wa kuifunga Chelsea
Tena kuna nyingine tukiwa nusu kwa dakika zaidi ya 45 ww uliejiozea?
 
United ana odds 6.85 kwamba anashinda. Anayeamini united anashinda asubiri mpaka dakika ya 30 akiwa kafungwa moja au bila bila kisha ampe united na aweke hati ya nyumba
Ha ha ha nimecheka nyumbaaaa sawa utalala kwa shemeji yko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…