Macocha wenye historia za namna hii za upepo kuishiwa nguvu huwa wanajikuta situations hizo zinawarudia rudia. waachwe.
 
Wachezaji wa city na psg jinsi wanavyokaa na mipira halafu ukilinganisha na midfielders wetu wanavyoachia mpira haraka kama wameshika kiazi cha moto,unagundua itatuchukua muda sana kurudi kwenye ubora wetu katika soka la ulaya.

Usiku mwema wadau wa UNITED.
 
Chelsea vs Man U
Ball possession itakuwa hivi
Chelsea 90 Man U 10
huku Ronaldo akijikakamua kufunga Hattrick
 
Nilivyomuona poch Leo kwa mam city bado sins uhakika kama ataweza kuna kuipa man u mafanikio... Ameelemewa sana kupita maelezo ni bahati tu man city wamescore 2 na sio 4
Ile team tatizo sio kocha, dressing room ni nzito imejaa mastaa tupu kila mtu anajiona bora yaani wapo wapo tu mtizame Tuchel wa chelsea halafu tizama wakati yupo PSG utanotice kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…