Valverde tumepigwaErnesto Valverde, former Barca's manager is tipped to be one among the candidates to take over a managerial role at United in caretaking basis.
Valverde while taking charge at Barca won 2 Laliga titles
Pochetino and Ten Hag are the names which are said to top the list of permanent managers who could fill the vacancy
Valverde tumepigwa
Kwa mtizamo wangu Poch ni Ole aliyechangamka tu.vipi kwa Poch
Mimi naona Ten Hag kwa sasa ni better option kuliko PochKwa mtizamo wangu Poch ni Ole aliyechangamka tu.
Baada ya kuona hizi tetesi zake kwa kweli nimekata tamaa na hii klabu kabisa.
Haka ka Bruno kaache mambo ya kijinga..kamekuwa hovyo kwa muda mrefu tu..kukaa benchi kwake alistahili.Bruno kamind kuanzia benchi leo.. Ukiona assist aliyotoa Sancho alipofunga hakushtuka wala kushangilia wala kuungana na wenzake kumpongeza
Care taker tu lakini sio perment manager.Valverde tumepigwa
Jumapili matokeo:Haka ka Bruno kaache mambo ya kijinga..kamekuwa hovyo kwa muda mrefu tu..kukaa benchi kwake alistahili.
Na hili ni fundisho kuwa inabidi uipambanie namba sio kuridhika tu na kuanza kucheza kifaza
Aifunge Chelsea ipi?
Hivi kwa beki zako zile unadhani Utapona kwa chelsea?
Jidangaje nyie hamna quality ya kuwazuia Chelsea mnakula zaidi ya magoli matatu
Cheki hii takataka 😂😂😂😂Tutamfunga.. Hatuna uwezo wa kushinda day in day out kwenye EPL, Ila tunauwezo kabisa wa kumfunga Chelsea
Mnamuona huyu mvuta bangi??Nyie matakataka leo mnapachikwa halafu jumapili tuwale bao ngapi?
Semeni chapu
Angalia PSG ya sasa hamna kitu kabisavipi kwa Poch
Huwa anapuliza hadi kule livapuli.Mnamuona huyu mvuta bangi??
Mafala tu nyie mna timu gani ya kuitishia Manchester United!Nyie matakataka leo mnapachikwa halafu jumapili tuwale bao ngapi?
Semeni chapu
Ww umekuwa muuungwana sana maaa si kwa sifa hizo ulizotumiminia CHELSEA asante mkuuMafala tu nyie mna timu gani ya kuitishia Manchester United!
Ndiyo Chelshit mpo on form na United timu yangu inasuasua ila mnatu-underrate sana, I know the odds are against us ila tunakuja kuwapiga mbupu hapohapo darajani.
Msitarajie kuona makosa mengi tuliyofanya against LFC na MCFC. Najua pale nyuma mna mwamba wa kunasa mipira lakini haitazuia Chelshit ku-concede at least goli moja, who knows it could be a winner!!! Siku hiyo itakuwa hakuna blunder za Maguire. Natarajia Carras aje na mfumo ambao hautaruhusu wingback zenu kupanda sana maana ukitoa wingback zenu hakuna offensive player anayefurukuta. Defensively mpo vizuri show ya Kante tunaijua, center back zenu tunajua ni ukuta mgumu, wingback zenu tunajua shughuli yao offensively ila mark my words "WE WILL TEAR YOU APART"
Jana mmeshinda kwa ndondokela mmeanza maneno maneno....Mafala tu nyie mna timu gani ya kuitishia Manchester United!
Ndiyo Chelshit mpo on form na United timu yangu inasuasua ila mnatu-underrate sana, I know the odds are against us ila tunakuja kuwapiga mbupu hapohapo darajani.
Msitarajie kuona makosa mengi tuliyofanya against LFC na MCFC. Najua pale nyuma mna mwamba wa kunasa mipira lakini haitazuia Chelshit ku-concede at least goli moja, who knows it could be a winner!!! Siku hiyo itakuwa hakuna blunder za Maguire. Natarajia Carras aje na mfumo ambao hautaruhusu wingback zenu kupanda sana maana ukitoa wingback zenu hakuna offensive player anayefurukuta. Defensively mpo vizuri show ya Kante tunaijua, center back zenu tunajua ni ukuta mgumu, wingback zenu tunajua shughuli yao offensively ila mark my words "WE WILL TEAR YOU APART"
Mtoto mshenzi kweli huyu..Huwa anapuliza hadi kule livapuli.
Ila Darmian timu yenu inasikitisha