Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Imefikia wakati Man U tumkatae Moyes. Anatuondoa kwenye utamaduni wetu jamani wa kushinda zaidi nyumbani.
Anafanya sub za kijinga kabisa, kwani kitu gani kilichomfanya awatoe Rafael na Kagawa na kumwacha zuzu Fellain?
Moyes aondoke tu, tumechoka.
Aende wapi wakati mmempa mkataba wa miaka 6 OT?
 
We have been competitors for three years tunakuwa mabingwa au mabingwa kasoro magoli. Let us wait time will tell. Tukizidiwa itabid tukajifunze procedure za kufukuza kocha frm chelc
 
Man City kwa mwendo wa kilevi? unaumwa tena sehemu mbaya!
Sasa kwa timu alikuwa nayo man city ndio ingekuwa kwa timu nyingine labda tuseme kwa viungo waliopo pale man city tungekuwa nao sie unafikiri ingekuwaje?
Kwa timu alokuwa nayo man city hakustahili kuwepo pale alipo.Alitakiwa akamate usukani huku Arsenal natimu yao isiyokuwa na mfungaji maalum wangetakiwa kuwa nafasi ya pili kushuka...


"Nlikuwepo":bolt:
 
We have been competitors for three years tunakuwa mabingwa au mabingwa kasoro magoli. Let us wait time will tell. Tukizidiwa itabid tukajifunze procedure za kufukuza kocha frm chelc
Mwanzo mlisema Man U ndio anavyoanzaga,sasa mnaona mnakosa uelekeo mnaanza kusema kuwa mshakuwa mabingwa sana... Shame


"Nlikuwepo":bolt:
 
Man U msimu huu hatuwezi kuchukua ubingwa ila inabidi jitihada zifanyike tushiriki CL ya 2014-2015.

Tutajirekebisha msimu ujao.
 
Man U msimu huu hatuwezi kuchukua ubingwa ila inabidi jitihada zifanyike tushiriki CL ya 2014-2015.

Tutajirekebisha msimu ujao.

Kwa mwendo huu hata hiyo Europa League mnaweza msiipate ila bado kuna muda mwingi hadi May.
 
Mpaka Mashabiki wa Man U waje watambue kuwa Moyes siyo Fugerson itawachukua muda kweeli, Nadhani mpaka pale watakapojikuta wapo nje ya top 10. Maana mpaka sasa bado wanaamini kuwa Xmas itaawakuta kileleni.
 
Man U itazinduka....ni ishu ya muda tu...
 
Watu bwana.....sasa wanamwona Martinez kama bonge la kocha, kisa kuifunga #ManUnited .....

Wanasahau huyo Martinez aliishusha daraja Wigan.....

Kwa upande mwingine, mashabiki maandazi wa #ManUnited nao wanakuja juu na kumsema David, wengine afukuzwe n.k. Wanasahu kwamba ukimtoa Fellaini, United ni ile ile aliyoiacha SAF.....sasa hapo unampa lawama David kwa misingi ipi? Mbona sisikii wachezaji wakipewa lawama hizo? David ni kocha mzuri sana, alipotoka Everton alifanya mambo mazuri sana kwa aina ya uwezo Everton iliyokuwa nayo. Alipoitoa Everton hadi alipoiacha, kuna makocha wengi tu hawawezi. Ni kichekesho na kituko kuwaona na kuwasikia goons wakimsema David ni mid-table manager. Wamesahau Arsene Chenga, alipokuja goons hata address ya alipotoka kisoka, haifahamiki!! Leo eti wanamwita pulofesa!!!

David anahitaji muda kudeliver; muda ambao kwa mashabiki maandizi, haupo. Wao wanataka kuona #ManUnited ikishinda mataji kila mwaka, kweli!!??! Hawa ndiyo wale kwenye trophyless seasons under SAF, walisema SAF kaishiwa, astaafu, ajiuzulu, na pumba nyingine kama hizo. Lakini aliposhinda EPL misimu mitatu mfululizo, wakawa kimya kama maji kwenye mtungi!!

David anahitaji kuestablish his mark and philosophy pale United; na kwa resources ambazo Ed Woodward kasema zipo regardless of trophy winning, basi ataweza kuing'arisha #ManUnited tena.....

Ed kanifurahisha sana, kwani kasema United haiitaji kushinda makombe ili kuleta sponsors' money.....monies are flowing into #ManUnited even now, kuna ongezeko la asilimia 63 katika sponsorship deals hadi sasa; there are more sponsorship deals at the door waiting.......hivi watu wanafahamu licha ya Liverpool kutoshinda taji la EPL toka mwaka 1990, lakini wao ni wa pili kwa kuwa na biggest shirt sponsorship deal?! Nasema hivi kwa sababu kuna pundits wameshaanza vidomodomo vya sponsorship deals kudrop and all bullshit.....deni la timu linashuka kwa spidi kubwa sana, ili nalo linavutia hizo deals......with monies present, then it is a matter of time for the team to get back to its best......

Don't worry #TrueReds , the team will bounce back, EPL is a 42 kilometre run, it is just a matter of catch us if you can or catching up.....

#ManUnited all the way.....
 
Naona kuna watu sasa wamekuwa #makuwadi wa goons humu.....



Ufafanuzi mzuri sana tena sana
Chama bado lina nafasi ya kuleta faraja
ukweli ndiyo km ulivyosema wengi
tunataka ushindi daima bila kujua

Mchezo hubadilika.
 
Mkuu MissM4C

Hivi hayamaneno yako unataka kweli
yaingizwe kwenye Hansard?
Na hiyo "Taa yako ya Chemli" halafu
utembee khanga moko


Red Devils kumbuka daima hufanya
wonders kwenye mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…