HABAR ILIOPO MANCHESTER
Sosha kaambiwa ajiuzulu ila hataki na sasa yupo kwao ila kuna kijambo kinaendelea pale OT
Game ijayo ya jmosi dhidi ya Watford mashabiki wataandamana ili game hiyo isichezwe wamekubali hata Watford wapewe points ilimradi tu sosha aondoke
Mpaka sasa manchester wanawatag makocha watatu 1zizu 2 Eric hag 3 Luis Enrique
Rio Ferdinand yuko tayari katika maandamano hayo kuungana na mashabiki ili kuinusuru manchester na kufukuzwa kwa ole
Kwa upande mwengine Edwoodward anaweza asiwe na cheo chake huenda kikachukuliwa na mtu mwengine
Kwa upande Edwin van dar Sar anaweza Kuja United kuwa mzee wa kuleta vipaji pale OT
inawezekana sosha asirudi Tena kwa taarifa zilizopo timu sasahivi yupo nayo Michael Carrick mpaka watakapoamua yao maana mashabiki washasema wataandamana na ndo mana Sosh yupo pembeni kwanza anasikiliza upepo
Hayo ndio yaliopo ila naamini kila mmoja wetu humu anatamani ifike siku ya jmosi ili ajionee kile kitachojiri pale old Trafford
NINI MAONI YAKO SHABIKI MWENZANGU
Nilishasema humu kama Bruno angekuwa hatengenezi nafasi nyingi za kufunga ikiwemo kufunga magoli yeye mwenyewe.Bruno Fernandez takwimu zake zinaogopesha na uchezaji wake unaogopesha
kama wewe unadhani football kwa midfield ni mchezo wa kutengeneza nafasi za magoli ya kufunga basi bruno ndiye kiungo mshambuliaji bora kwa sasa duniani.
Ila kama unadhani ubora wa kiungo mshambuliaji pia unapaswa kupimwa kwa kuangalia zaidi jinsi anavyo control mechi dhidi ya wapinzani basi bruno fernandez hawezi kuwa mchezaji bora.
Huo ndio mtazamo wangu
- Guardiola hawezi kufurahia uwepo wa Bruno ndani ya timu yake
View attachment 2006297
Jurgen Klopp alikuwa foward pia.Anae muaminisha Ole kuwa hata forward anaweza kuwa kocha bora ni ferguson,, kwa sababu hata yeye ferguson alikua forward ... ila nje ya hopo maforward wakiwa mamanager huwa wabovu sana ....
Tumpe muda fernando torres atakuja kuwa mbovu sana .... watu wanaoelewa kufunga tuu unawapa vipi kufundisha timu
Roy Keane atawazaba makofi kina Maguire mchana kweupe kabisa.Kwann hawamuiti hata Roy Keane??
Hicho ndio kinachokosekana Manchester united.. aje kocha ambaye anakutwika fuko la mavi. Ferguson hakumkaripia David sinkwa Sabab hampendi Ila hataki ujinga...wote wanaolea watoto ukimlea mwanao kizembe zembe atakuwa wankijinga..
Michezaji ya siku hizi inadeka kinoma huku inakunja mipunga ya maana..ukiwa kocha mbabe wanakuundia zengwe..Hicho ndio kinachokosekana Manchester united.. aje kocha ambaye anakutwika fuko la mavi. Ferguson hakumkaripia David sinkwa Sabab hampendi Ila hataki ujinga...wote wanaolea watoto ukimlea mwanao kizembe zembe atakuwa wankijinga..
Wachezaji the same... Tunataka kocha mkali hao wote mnaosema wanakuja asijebkocha wa kijingajinga.. mchezaji ni mdg kwako na unajua anatakiwa afanye kazi
Bodi haikuandaa succession plan.Jumapili tulivu nimejipumzisha home, ila nikikumbuka kocha wetu bado ni OGS nauzunika, yaani pamoja ni kile kipigo cha 5 - 0 toka kwa mahasimu wetu bado bodi ina matarajio+ na OGS
Katika watu ambao nawachukia ni wanaotuita nyumbuu.. yaan Bora Bora ujue kuwa kuniita nyumba wewe ni Ku.ma yamama ya maamamako. Niite jina lingine..sio nyumbu mavi nyie