Man U tunacheza kama hatutaki vile, wachezaji hawakabi kwa haraka na nguvu (intensively), AWB hawezi kucheza kama wing nadhani hiyo nafasi angekaa Diogo dalot.
Huu mfumo kwa man city ni uongo hapo kati hatuna mtu kabisa tutashambuliwa mpaka basi. Ila shaw kweli amefanya nini pale wallahi??
Tunabuy tu time lakini Ole hawezi toboa na hii timu yake tunasubiri meli airport.