Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Cristiano Ronaldo has advised the #mufc players to not down tools, irrespective of what they thought of Solskjær's tactics, until an eventual change of manager


[samuelluckhurst]
manutd |
#GGMU
 
Manchester United are prepared to lose Paul Pogba for nothing next summer after accepting that the midfielder will not sign a new contract at Old Trafford.


#ESPN
manutd |
#GGMU

Wampe mshahara wa £500k per week kama atakataa

Hazard anatembea na £400k per week,Grienzmann nae kote alikowahi kucheza alikuwa anachukua humo humo kwenye £400k per week na bado magarasa kibao yanakula zaidi ya £300k pee week halafu mchezaji caliber ya Pogba akubali £350k per week?!!!

Wasubiri gap la Pogba kujazwa na wachezaji uwezo mdogo kama McTominay
 
CR7 anatarajiwa kupata watoto mapacha.
Nafikiri hii itakuwa ni mara ya pili kupata mapacha, hongera zake pamoja na mama watoto wake.
Pesa anazo za kutosha, tumuache afyatue apendavyo.
 
Pogba wakula £500k kwa work rate ile pale Man U?
 
Pogba aachwe aondoke Free..

He's the most indisciplined and careless player ever played for Manchester United...At this moment i care less about him.
 
Pogba aachwe aondoke Free..

He's the most indisciplined and careless player ever played for Manchester United...At this moment i care less about him.
Huyu Pogba timu ya taifa anafanya vizuri kwa sababu timu nzima huwa inakaba collectively. Hapa kwetu Pogba mwenyewe hana ambitions binafsi na timu
 
Sasa Pogba anacheza na anaona timu haina lengo na makombe ajitume ya nini?? Anahitaji champions League na Premier pia haoni hizo dalili ndo mana anataka kusepa zake mpaka sasa hata Ronaldo nadhani kaanza kujuta kuja pale.
 
Sasa Pogba anacheza na anaona timu haina lengo na makombe ajitume ya nini?? Anahitaji champions League na Premier pia haoni hizo dalili ndo mana anataka kusepa zake mpaka sasa hata Ronaldo nadhani kaanza kujuta kuja pale.

Sasa Ronaldo angeenda wapi? Maana ameona sehemu ya kumalizia mpira na kula mafao ya uzeeni ndio pale, aende wapi tena?

Huko uarabu kaogopa kwenda kuhofia watu watamsahau kwa sababu swahiba wake Messi bado yupo ulaya.

Ukiacha uarabuni sijaona timu nyengine ambayo ingeweza kumchukua kwa kiwango chake cha sasa.
Mfano mzuri, Man City walikuwa na uwezo wa kumchukua lakini Pep alikataa katakata kuingiza mizigo kwenye timu yake.
 
Ujio wa Ronaldo ubaki kuwa ni wa kibiashara tu, lakini sio kama watu wanavyodhani kuwa ni wa kimafanikio kwa maana ya vikombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…