Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nahisi huyu jamaa atakuwa na siri nyingi za uongozi, anyways nilirudi nikidhani kocha atafukuzwa but now nimerudi kwenye msimamo wng wa kuachana na hii timu mpk aondoke huyu mmasai, ze-dudu utajichosha tu mkuu.
Kuleni glucose mwendo mdundo hakuna kuachana na team songeni mbele kwa mbele
 
Sifa moja kubwa ya Mashabiki wa Manchester United ni kuwa na mdomo mkubwa.
 
Sio kila anaeongea barabarani peke yake ni kichaa wengine ni mashabiki wa Manchester United
 
Nahisi huyu jamaa atakuwa na siri nyingi za uongozi, anyways nilirudi nikidhani kocha atafukuzwa but now nimerudi kwenye msimamo wng wa kuachana na hii timu mpk aondoke huyu mmasai, ze-dudu utajichosha tu mkuu.
Pumzika kwa amani mkuu!
 
Mashabiki wa Manchester United mmekuwa wapole kama wadaiwa sugu wa Bodi ya mikono ambao hamna ajira.
 
Pogba kupinga habari za uongo, Ronaldo kum-support ex-teammate wake, Sir. Fergie kutokea mazoezini jumlisha na ushindi wa jumamosi dhidi ya Spurs kutamuweka Solskjaer kwenye nafasi nzuri kwa mara nyingine tena.
 
Ole aondoke tu. Hatuhitaji tena kocha wa aina yake.

He's terrible in team selection and game management.

Tactically he's empty set.
 
DAH!...Mtaalam wa Commentary BWANA #PETERDRURY Mkongwe wa #BIGMATCH kama zile....aliwashusha vyeo sana na huyo manager wenu uchwara Mr. OLE.



kuna moja alisema "KLOPP is Furios over the Devils....I see them have no where to go in their own pitch"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…