Conte hatoiweza hii timu, tunarudia makosa yale yale, yn tutasubiri sana kwa kweli, kwani jupp heykens yuko wapi.
Sana tu sijui wanawaza nini huko ofisini
Ofisi ndio imeamua mdau ila sio kesi acha atupe hata kikombe cha chai msimu huu na kwa ile misimamo yake hakawii kubwaga manyanga kama alivyofanya kule interConte hatoiweza hii timu, tunarudia makosa yale yale, yn tutasubiri sana kwa kweli, kwani jupp heykens yuko wapi.
Mashabiki mandazi .utasikia Ole hana mbinu tuna taka kocha mwenye mbinu saivi tena mna semaje vileeèeConte hatoiweza hii timu, tunarudia makosa yale yale, yn tutasubiri sana kwa kweli, kwani jupp heykens yuko wapi.
Kuelekea World Cup sidhani kama itakuwa rahisi.Wangemjaribu hata Luis Enrique.
Bora hata ya Bielsa.Kuelekea World Cup sidhani kama itakuwa rahisi.
Nipo skeptical sana kuhusu Zidane.Mkuu mimi sijui, ila kwa kikosi chetu tunahitaji kocha anayejua ku handle ma superstar. Zidane ana make sense pengine.
Hivi DoF aliandaa succession plan au anaenda na kile mashabiki wanataka au wanachukua yule alie available?
Bro kuna laana kubwa naiandaa kwa dof hapa baada ya ole kusepeshwa labda tu achange karata zake vizuri.....Hivi DoF aliandaa succession plan au anaenda na kile mashabiki wanataka au wanachukua yule alie available?
tayari nini bado sio rasmi mpaka sasa ni tetesi tu usitukimbizeTayari huko
mimi namrate sana Conte, ila tunaongelea Glazzer hapa naona ya mou part 2 yanakujaNipo skeptical sana kuhusu Zidane.
Aliangukia kwenye timu yenye mastar baada ya hapo basi.
Kwa Conte as long as Ole anaondoka, tujaribu na Conte. Tumpe miaka miwili ya kumsoma.