Mchezo wa leo, kwa kifupi, MANURE, wako pathetic, embarrassing, scandalous, lazy, little boys against men, clueless, haki ya nani its just so sad kuwaangalia, kwa kweli nimewaacha mabest crying over their beers, na ubahili wangu i swear nikawapiga round 2 at least walale vizuri kwenda kutafuta hela kesho..
Kidogo nami nilie jinsi walivyokuwa wanasikitika!
It's a tragedy honestly. Ila hamna namna, kutesa kwa zamu..
POLENI SANA..,ππππ
ππ€£