Ole akil hana..we msikilize leo.baada ya hii comeback atakavojinasibu na sikiliza walio nyuma yake watakavo tetea..yan unaona kbs team hii ni ya amasa lkn kimbinu iko chini sana...leo anapuliza nahis jumapili atangata yan ndo mchezo wa bwana ole na fans wake wengne wanamuona wa maana kbs
Mkuu hulu jf kuliwahi kuzuka utetezi juu ya tatizo la kutokufunga kwa Mugalu, watu wakawa wanasema eti "Mugalu ni mzuri anakabia juu anawa-hold mabeki" nikawa nawaona wapumbavu kweli, yani usajili mshambuliaji kwaajili ya kukaba mabeki? πππ
Ndomaana ulivyoleta hiyo hoja ikabidi niruke na wewe mazimaππ