Wewe haujawai kuwa na akili timamuLEO MOTO MKUBWA LAZIMA WAKAE [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]View attachment 1981171
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kichwani mweupe atabadili kutokea wapi sasa [emoji23][emoji23] ni sawa na hujui hesabu halafu unatafuta jibu unajiwazisha hutakaa upate peleka answer sheet ya watu apumzike nje.Hivi wakuu huyu kocha kwann hajawahi kujaribu fomesheni nyingine? Hii kila siku inamtesa.
Hivi wakuu huyu kocha kwann hajawahi kujaribu fomesheni nyingine? Hii kila siku inamtesa.
Kwamba tupo kwenye mchakato, tunafatilia.Trust the Process
kashapigwa huko kimoja....Kwamba tupo kwenye mchakato, tunafatilia.