This is the biggest away win for United in UCL...#recordbreaker
Leverkusen were unbeaten at home since March, 2013....#recordbreaker
You got to love #ManUnited
Wacha haters waje. Wanasema timu yeyu mbovu, lakini ni maneno yao kila msimu husema man utd mbovu lakini mwisho tunakuwa mbele yao timu nzuri hahahaha!! Watu kuongoza ligi wamepata kiburi kweli!! Tunarudi katika nafasi yetu!
Mkuu naomba nikupe SALUTI,kama kungelikua na bunge letu watu wa UNITED,ningelikua mtu wa kwanza kukupendekeza uwe MBUNGE wetu.
Umekidhi kiu ya mashabiki wote wa Man United ambao kama mimi walishindwa kufuatilia mechi moja kwa moja.
ASANTE SANA.
......keleleMingi.Com
Utadhani mmeshinda kombe la dunia!
Karibu chifu
aisee hii game jana sijaiona....nimetoka kubeba mabox nimechoka hoi nikakaa naisubiria game ianze,kabla haijaanza nikapitiwa na usingizi!!!!nimekuja kushtuka game imeisha kama masaa 4 yaliyopita naona scores sikuamini....nilitegemea game ngumu sana kutoka kwa wajerumani, sasa sijui MAN UTD ni walikuwa vizuri jana au hawa LEVERKUSEN walikuwa mdebwedo siku ya jana....all in all its a very very good feeling after sunday's disappointment.....