Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kweli, ila siyo Giggs, mbona amekipiga poa tu....sema itabidi apumzishwe ili Anderson aingie hapo....

yah! Giggs kwa leo kidoogo siyo kama alivyocheza mechi ya juzi dhidi ya Cardif, lkn kupumzishwa kwake na kwa manufaa ya timu ni muhimu.
 
Valencia na Rooney wametoka na Anderson na Young wameingia, dk. 81
 
David hakuna namna ya kumweka Kagawa hapo kati pamoja na Wazza?

Maana leo amekipiga kweli....
 
United, the 1st English team to score 4 away UCL goals in Germany
 
FT Leverkusen 0 United 5

Wacha haters waje. Wanasema timu yeyu mbovu, lakini ni maneno yao kila msimu husema man utd mbovu lakini mwisho tunakuwa mbele yao timu nzuri hahahaha!! Watu kuongoza ligi wamepata kiburi kweli!! Tunarudi katika nafasi yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…