Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ole please stay..don't let these frustrated Zebras distract your mission of destroying Manchester United 🤪

It's enough for today, let's meet in champions night
 
Hatuna Kocha
 
nimenusa harufu ya vita kati ya baba na mtoto, tukumbuke paul hajasaini kandarasi mpya.
isije ikawa kauli ya labile ndio mtazamo wa wachezaji walio wengi, kama ni hivyo Ole atakatwa kichwa chake kabla ya december

 
Mfano ikatokea akashinda zote itakuaje?
 
Pogba hana tatizo lolote ila tatizo hapo ni kocha
Kweli, mi natamani aondoke akapate timu ya kiwango chake. Haiwezekani mtu acheze vizuri akiwa timu ya taifa ambayo anakutana na mafundi wenzake na akicheza vibaya kwenye hili litimu letu libovu tumuone eti yeye ndiyo ni mbovu?[emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…