Sijaona beki mpumbavu kama Maguire pale England, hili goli ni lake, pale beki mwenye akili anautoa uwe wa kurusha yeye katoa kona wakati kulikuwa hakuna sababu ya kufanya hivyo kabisa.
Magwaya again what is a fantastic defender [emoji3][emoji3][emoji3] ... Wachezaji wetu Wana afya mbovu hawawezi kunyang'anya mipira kutoka kwa wapinzani... Wakiguswa kidogo tu chiniiii